Recent content by For the people

  1. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Habari zenu ahsanteni wote mliokua interested na thread hii😊, nimerudi kuwajulisha tayari nimeshapata mtu. Kwa ambao mme ni dm will consider you kama ikitokea kazi nyingine, til next time💯🤲🏿
  2. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Mimi sio boss😑 ila Dm
  3. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Bando la 500 linatosha 😶
  4. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Kazi ilivyo -Nakupa content unapost then nakupa hela kazi ya 300 mb max unataka 15k bro come on
  5. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    15k for few posts😦 Wewe ni mwizi🤔
  6. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Kazi inachukua around 300mb 😊
  7. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Cmn ni 5 hours max na ni 5 hrs in split na kazi ni kupost tu na content natoa mimi bro🤷
  8. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Naweza nikatoa inategemea💁
  9. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Ndugu yangu kasema hii hela ndogo kwake😟
  10. F

    Kazi, Mtu 1 Anahitajika/ Malipo 1500/day

    Habari zenu ahsanteni wote mliokua interested na thread hii😊, nimerudi kuwajulisha tayari nimeshapata mtu. Kwa ambao mme ni dm will consider you kama ikitokea kazi nyingine, til next time💯
  11. F

    Hanstone wa "Iokote" yupo wapi?

    Ngoja wakati wake kurudi unakaribia, utamsikia wasafi ndie anaefata baada ya zuchu. yule mtoto ni hatari sana kupotea kiholela vile [mawazo yangu yanavyonituma]
  12. F

    Msaada WordPress, nimekwama

    Kama bado unakwama baada ya maelekezo ya wadau, dm niambie functionality unayotaka kuiweka kwenye website yako na budget yako nitakusaidia. Ahsante!
  13. F

    TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    Mungu amlaze mahali pema marehemu. Wana jf hili tilichukue kama mfano hai wa jinsi ya kuyapokea mawazo/mchango/shida ya mtu fulani anapowasilisha kwa njia ya maandishi. Leo jinsi tunavyojisikia baada ya kumpoteza mwenzetu itufunze kupunguza mizaha na mambo mengine ambayo ni hasi pale member...
Back
Top Bottom