Recent content by Fontana_silver

  1. Fontana_silver

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Nadhani alipotaja machinery maanake ni asset ambazo zitaweza cover liabilities zote ikiwemo madeni kwahy suala la makubaliano na naona ni business nzuri ambyo hata mm binafsi npo tyr kuwa investor at its standing point Ila sio kwa kuchukua overall 10% Sent from my 21051182G using JamiiForums...
  2. Fontana_silver

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Yeah sure kama shark tank. Sent from my 21051182G using JamiiForums mobile app
  3. Fontana_silver

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Sawa na ikikubalika nitakua wa Kwanza Ku invest na nyie Sent from my 21051182G using JamiiForums mobile app
  4. Fontana_silver

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Ikiwa bado hmn muwekezaji wa hyo capital moja kwa moja nashauri tenga fungu la hisa stahiki litakaloleta hyo total amount ya capital unayotaka kuraise ili tununue kama hisa na binafsi nitakua interested ili ku mitigate risk kwa upande wangu Sent from my 21051182G using JamiiForums mobile app
  5. Fontana_silver

    Nimekwama kwenye kuomba mkopo HESLB

    Nenda ofisini kwao kama upo dar mitaa ya tazara kama unaelekea vetenari huenda wakakusaidia Sent from my 21051182G using JamiiForums mobile app
  6. Fontana_silver

    Naomba kujua jinsi ya kuongeza salio UTTAMIS

    Website Yao ina maelekezo yote hususani estimated returns plus njia zote za ku deposit za simu na bank. https://www.uttamis.co.tz/ Sent from my 21051182G using JamiiForums mobile app
  7. Fontana_silver

    Natafuta Samsung Tab 8 Mpya

    Tab 8 yaan tab s8? Au tablet ziwe 8[emoji848][emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Fontana_silver

    MSAADA WA TABLET

    Samsung S2 tab ram 3gb...32gb storage...fingerprint na inatumia cm card 4g. 600k Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Fontana_silver

    Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

    Kama una invest ni vyema ukajifunza khs fundamental na technical analysis...cha kwanza angalia kipi rahc kwako ambapo nadhani fundamental ni rahc zaidi maana ujifunze kusoma financial statements na kisha ndio uingie kwny technical. Ila pia pata basic nzima ya stocks na kujua vitu muhimu then...
  10. Fontana_silver

    Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

    Kila mtu anamtegea mwenzake kutengeneza group[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Fontana_silver

    Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

    Mimi nipo na ABBVE,NIO,SPG,KO,AGNC ambazo nilikua cna cash zilipo dip ila return nzuri roughly 50% in total cap invested
  12. Fontana_silver

    Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

    UTT bado naitathmini model yake ya return maana misingi ya dini inakwamisha km ni mfumo unaohusisha riba na CRDB siwezi invest maana kuna percent inatokana na riba
  13. Fontana_silver

    Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

    Yaah....ila kampuni haiwezi kuwa delisted instantly maana kuna 3 years za ku comply na pia zile fraud aligation za EV company za china naona hazijaigusa NIO maana ipo chini ya serikali japo hzo news zina mu affect kwakua wapo kwny region moja
Back
Top Bottom