Recent content by folk

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Nilikuwa ndani ya gari natoka hospitali.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Asante ndugu, Jana nimelia sana kwani nimemkosea nini Mungu Mimi.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Nimedhoofika sana. Nitakufa punde.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Nilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.) Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje? Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Harusini karakata! Kituko cha mwaka

    Ahahaaaaha!! Nimecheka saaana kama ishu za zamani za Buricheka.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Harusini karakata! Kituko cha mwaka

    Umetisha mshana na hii kazi.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Amen mpendwa!! Maandishi yako haya yanaweza kutafsiriwa kama uungwana na huruma kubwa dhidi ya binadamu wenzako na waungwana wenzio. Asante, nitazingatia mpendwa!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Nakushukuru ndugu! Kauli yako ni kauli ya waungwana wengi wenye mapenzi mema na binadamu wenzao. Kwa maana hiyo hiyo, kauli ya wengi ni kauli ya mungu!! Mungu ataweka wepesi tu siku moja. Amen!!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Ndugu mpaka hivi sasa niko kwenye hali ya mtanziko, kwa maana sijapata mtu alie tayari kutafuta suluhu ya hili gumu kwa muktadha ninaopendekeza kulingana na tatizo langu mbali na sokwe ambae amependekeza suluhu itafutwe hospitali zaidi. Asante.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Nimekupigia punde ila naona huko busy kidogo!!
  13. F

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Ndio namwamini yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yangu, ila nadhani sijapata mtu wa mungu mwenye karama za mungu kuweza kuratibu na kuwezesha mlolongo mzima wa wokovu kupitia jina la yesu.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Shukrani ndugu, Pole kwa magumu yaliyokukuta na pia hongera kwa kuweza kutoka kwenye dhoruba hilo maana kuna baadhi ya watu wanaona kama vile masuala haya tunayozungumzia hapa ni hadithi za abrakadabla na kusadikika tu, mbaya zaidi wanafikia hatua ya kuanza kuhukumu watu waungwana na wasamaria...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Asante mwaya!! Si huyu ndugu cortunix ndio amekuja kuchafua hali ya hewa na kughafilisha watu. Naamini ni mtu mzuri pia cortunix.
Back
Top Bottom