Recent content by Foleni Bios

  1. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa RC Makonda: Nenda Ikulu, majina ya Wauza Madawa yapo mezani kwa Rais Magufuli

    Nadhani mwenzetu alichozungumza ni kuchinja vifaranga wakati jogoo alonona yupo nawe unaigiza kutomwona. Kumwambua Chid Benz aje Central uongee naye ni vita dhidi ya dawa za kulevya?
  2. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Toyota wish vs Corolla spacio

    [emoji15]
  3. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Toyota wish vs Corolla spacio

    So u say wish ni bora zaidi ya spacio?
  4. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Toyota wish vs Corolla spacio

    Ushauri mzuri. Ahsante
  5. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Toyota wish vs Corolla spacio

    Sawa mkuu
  6. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Toyota wish vs Corolla spacio

    How mkuu??
  7. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Toyota wish vs Corolla spacio

    Naomba msaada wakuu. Nataka gari economic lakini imara kidogo. Kati ya toyota wish na corolla spacio ipi ni nzuri na sifa zake.
  8. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo ni hatari kwa watu weusi kuishi/kutembelea

    Bongo pia wabaguzi. Walimwandama ndugu yetu Baraka da prince kwa rangi yake nzuri ya kiafrika.
  9. Foleni Bios

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimekukubali bure kabisa and i have taken this note.. Thank u na Mungu akubariki sana
Back
Top Bottom