Foleni Bios
Member
- Sep 17, 2016
- 9
- 7
Naomba msaada wakuu. Nataka gari economic lakini imara kidogo. Kati ya toyota wish na corolla spacio ipi ni nzuri na sifa zake.
How mkuu??Usilinganishe spacio na vitu vya kijinga
Sawa mkuuOk let us be serious, kama unahitaji family car na unafamilia kubwa kidogo chukua Wish sababu inaweza kubeba watu hadi 9, ila mafuta bilashaka inakula zaidi ya Spacio kwakuwa ina cc 1.8 huku Spacio ina 1.5, kwa uimara huko sina hakika ila kwavile zote ni Toyota nadhani hakuna tofauti, ishu ni utunzaji tu
sijakuelewa kabisa kwani hizo gari mm sizitumii na hata nikiwa nayo nitamtupia wifeingawa toyota wish wenzio wanaiita kopo la soda..
Go for spacio (corolla)Naomba msaada wakuu. Nataka gari economic lakini imara kidogo. Kati ya toyota wish na corolla spacio ipi ni nzuri na sifa zake.
Ushauri mzuri. AhsanteGo for spacio (corolla)
Wish ni mayai, itakusumbua ikiwa una matumizi mengi na unaenda barabara mbali mbali (rami na rough)
Spacio inao uwezo mkubwa wa kuhimili mikiki mikiki hio, na bado ikawa imara, tofauti na wish.
Ukiipeleka kwenye road mbovu, baada ya muda hua inachoka.
Ila kama matumizi yako ni ya kawaida, go for wish.
So u say wish ni bora zaidi ya spacio?Usilinganishe Wish na ufala
Usilinganishe spacio na vitu vya kijinga
Usilinganishe Wish na ufala
Naona Pwagu na Pwaguzi mmekutana.
Naona Pwagu na Pwaguzi mmekutana.