CDM wanaweza kuitumia hii nafasi kwa manufaa binafsi, vijana wakavaa magwanda wakakaa mstali wa mbele kwenye maandamano na Kingwangala, duh hii itatafsiliwa vipi sijui...huyu jamaa hajui nini anatengeneza..hii ni hatari sana, kwa kuwa vijana wa CDM ni wepesi sana wa kuambaa na loose balls...
Huyu yangu ni yeye Mh.
Huyu jamaa nilikuwa nadhani ni mtu smart lakini kila siku zinavyoenda nazidi kuona ni mtu wa aina gani, first class economist...lols
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.