Diwani wa CCM Rombo ajiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CCM Rombo ajiuzulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Helper, May 31, 2012.

 1. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  Diwani wa ccm kata ya Mrao keryo, wilaya ya Rombo. ndgu. Felisian Marandu amejiuzulu kwa sababu za kiafya. Na leo amefanya mkutano katika kijiji cha Mmomwe kuwaaga wapigakura waka
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  pole sana ndugu diwani kwa kuugua nafikiri hii pia ni nafasi pekee ya cdm
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Afya yake imekuwaje tena MKUU? Maana huko Rombo mambo ya siasa nayo ni mgando mgando sana!!!! Chadema kiti hicho!
   
 4. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awe anakula vizuri.
   

  Attached Files:

 5. F

  FOEL Senior Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Au kashapata ugonjwa wa M4C?.
   
 6. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  chadema hatari sana wanataka watu hawapati usingizi inabidi tu kusarenda
   
 7. K

  Kivuli Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namjua huyo ni kada wa c c m amekwisha huyo na m4c
   
 8. Helper

  Helper JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 915
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  sukari inamsumbua mda mrefu,
   
 9. M

  Makupa JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Jamani huyu kashapewa mihela ya M4C ,kazi kweli kweli
   
 10. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  26032012220.jpg
  Kula na kunywa kidogo ni bora sana katika kuboresha afya ya mwili na kuongeza kinga mwili.
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hiyo itakuwa m4c. Akijivua gamba atapona!
   
 12. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Huyu si ni yule aliyeandikwa na gazeti la RAI kuwa alizaa na binti yake na kumfungia ndani kwa zaidi ya miaka 6?
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,087
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  Nafasi ya pekee kwa CDM.
  ugua pole diwani.
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukipona hama kabisa hicho chama mAana hawa wana poloniam wanaweza kuua
   
 15. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Pole sana diwani kwa maradhi yanayokusumbua.Pia tunatoa shukurani kwa kutupa nafasi nyingine ya kusonga mbele.ubarikiwe sana utapona haraka.
   
 16. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukipona karibu cdm maana kata umetuachia penda sana veve.
   
 17. mikonomiwili

  mikonomiwili JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Aaa anaumwa wapi ?? Janja ya nyani kula maidi bichi . mi namfahamu sana huyu jamaa ni kesha jua watu wamestukia mambo yake.
  si alijua Chadema wakifika kule lazima wata waambia wananch akaamua kuondoka mapema . usifikiri kunamtu anatosheka na hela eti ana umwa si aliweza fanya mkutano kuumwagani huko

  Mwandosia ana umwa mbaya lakini uongozi haachii . tusidanganyane eti anaumwa ni madili yamegoma
   
 18. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hold on pal! Yapo mgando kivipi? Kwa kuchagua upinzan(cdm) coz walianza since 1995 au kivipi? Au kwa huyo mh. kujiondoa ndo kunandihirisha u mgando wao??
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  M4C, hakika haiwabakizi!


  Kazi murua kbs!
   
 20. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  upepo wa cdm umeshapitia kwa heri ndugu
   
Loading...