Recent content by Focus120

  1. Focus120

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinasababisha Injini za magari kufa haraka?

    1. Engine oil feki 2. Vilainishi feki ( ikiwemo coolant, oil za brake etc) 3. Over rev. ( inastress gari) 4. Ipe dk chache gari ipate moto baada ya kusimama muda mrefu (cold start) 5. Chagua fundi na garage nzuri 6. Ipende gari yako (car enthusiasts tunaamini gari ina roho pia, mfano. Ukianza...
  2. Focus120

    JamiiForums Tanzania Wazazi, SI sawa kutoboa watoto wadogo masikio, pua, kuwanyoa viduku au kuwachora Hina

    Huu mwandiko umekaa ki seventh day Adventist. Je nipo sahihi?? Asante Kwa elimu na angalizo
  3. Focus120

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

    Nimecheka sana aisee 😂😂😂😂
  4. Focus120

    JamiiForums Tanzania Hitimisho langu! Kwa nilivyomsikia Lissu jana na nilivyomsikia Samia leo, Acha tu nchi izidi kuwa masikini na deni la taifa lizidi kuongezeka

    Incase those with ideas come to power, we kill/eliminate and place those without ideas in power.
  5. Focus120

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

    Wife akiuliza mwambie duniani wawili wawili. Game Over!
  6. Focus120

    JamiiForums Tanzania Polisi wengi wana utu kuliko raia wengi wanavyowachukulia

    Ni sahihi wapo askari wanaotekeleza majukumu yao kwa uadilifu isipokuwa wachache wanaolichafua jeshi la polisi
  7. Focus120

    JamiiForums Tanzania What is Growth?

    Sasa mkuu stress nitazi punguzia wapi kama sio hapa
  8. Focus120

    JamiiForums Tanzania What is Growth?

    Thread tayari 😎
  9. Focus120

    JamiiForums Tanzania What is Growth?

    Last year I was stressed. this year I'm even more stressed. that's called growth. Nimemaliza. 😀
  10. Focus120

    JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

    Extremist
  11. Focus120

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

    Kaparare jibu hili swali
  12. Focus120

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

    Si mpaka apate mimba.
  13. Focus120

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

    Acha uoga tafuna wewe.
  14. Focus120

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuamini tena rafiki

    Ukipata mwingine nishirikishe
  15. Focus120

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Umesema vizuri. Loan officers wengi huficha baadhi y taarifa muhimu Mfano ukikopa mil. 20 Benki utakachopokea ni Milioni 18. Ila utalipa Milioni 20 yote kmaa principal sum na Riba yake.
Back
Top Bottom