ni kweli ila naweza nikashukuru kwa hiki nilichokifanya kwa huu muda ndugu.najua wapo wenye uwezo zaidi ya huu tena ni mkubwa lakini naweza kumshukuru mungu kwa hapa nilipofikia
naona watu ambao si walimu wanazungumzia ualimu kwa vitu wasivyovifaham vya kiualimu. kama swala la elimu bure,mimi kama mwalimu ambae pia nina kacheo fulani ni kuwa nilipeka kwa mikono yangu taarifa ya bajeti ya matumizi ya shule kwa mwaka ujao,pia nilipeleka taarifa ya madeni yote ya shule...
mkuu sio wewe tu ambae huamini,hata nilivyokuwa naanza kazi nilikuwa nawaeleza walimu wenzangu lengo langu la kujenga nyumba,wengi waliniona kama mtu nisiejitambua,kwa mshahara upi utakaonifanya nijenge,lakn leo hii nao wameanza kupita njia nilizokuwa napita
si misifa mkuu ila kuna watu wanazalau kazi zao,na mimi lengo langu ni kuonyesha pindi wewe unapolalamika kwa kazi unayofanya,yupo mwenzako mwenye mshahara kama huo na anamaendeleo kuliko wewe unaelialia
nilikopa pia niliwekeza vitega uchumi ambavyo ni vya kawaida sana na hata jamii ilinidharau lakini walivyogundua wengi waliniiga.mikopo inatoa sana ila pia inabidi kuwekeza vitega uchumi
Nimeajiriwa serikalini mwaka 2013, mwaka 2014 niliweza kununua kiwanja chenye thamani ya milioni sita (hapa Dsm), na nikaanzisha ujenzi ambao ulinigharimu milioni kumi nne hadi kufika kwenye mkanda wa juu(lenta).
Mwaka 2015 namshukuru mungu nimeweza kuipaua yote ambapo imenigharimu kama...
mbongo fleva mondebinladen aka platnumz ametusua tena baada ya kuvuna tuzo ambazo kiba ataishia kuzisikia tu radioni.monde ameshinda tuzo ya msanii wa mwaka anaependwa zaidi na wimbo bora wa mwaka wa "nana".source:bongo5
wadau nimeamua kuanzisha huu uzi uwe maalumu kwa chama cha mapinduzi maana naona hakuna habari yoyote inayozungumzia chama hiki zaidi ya UKAWA(habari ya mjini na vijijini) tu.UKAWA wametawala kila kona vijiweni,magengeni,vyombo vya usafiri,mashuleni mpaka vyuoni na sehemu nyinginezo nyingi.wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.