WINOME (T) LIMITED ni company binafsi iliyosajiliwa chini ya sheria ya Company Act (2002) kufanya kazi za uwakala wa Bima (Insurance Agency and Broker), Clearing and Forwarding, courier services na n.k.
Ofisi zake zipo Dar es salaam, Azikiwe Street-Mavuno House second floor.
Kwa sasa inahitaji...
Kweli TBCwametangaza kutoka sehemu ya waombolezaji muda mrefu sana na hata ikafafanuliwa kuwa picha zinazosambazwa kuonesha watoto kabla ya safari sio sahihi kwani kuna waliokuwa na gari nyingine tofauti na ile iliyopata ajali pia wale watoto wako salama.
Sasa yeye Mkuu mwenyewe aache kulia aoneshe vyetu kuwanyamazisha hao unaowaita waongo. Ni kitambo hili suala kama mtajwa angelitoa vyeti aaaah lingekuwa limeisha.
Ndugu zangu poleni na majukumu..
Hivi tuulizane jamani, inawezekanaje halmashauri kuwapangia vituo vipya watumishi (uhamisho ndani ya halmashauri bila malipo) tena kwa vitisho usipoenda ilhali sheria ipo wazi kabisa.
Sasa swali ni je kwa mshahara wa sasa kama wa mwalimu chukulia amepanga nyumba...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tanga imetupilia mbali rufaa ya kusikiliza upya shauri la mirathi ya marehemu Mohammed Shosi lililofunguliwa na Swabaha Mohamed Ali.
Mwanzoni mwa mwezi huu, Swabaha aliyedai kuwa ni mke wa marehemu Shosi, aliibuka mbele ya Rais Dk. John Magufuli wakati wa kilele cha...
Binafsi nasema changamoto walio nayo madereva wa tax nchini ni bei languzi wanazokutajia kama mteja.
Mfano.. Uber kutoka posta to airport ni sh10,000 assuming hakuna foleni wakati tax ya kawaida usipungukiwe elfu 25. So madereva tax wajitathmini kabla ya hilo kwanza.
Duniani ktk nchi...
Jana kupitia taatifa ya habari ITV nimesikia na kuona serekali ya manispaa temeke wakitangaza kubomoa nyumba zote ambazo wamiliki wake hawakuomba vibali vya ujenzi kutoka mamlaka.
Watalaam tusaidieni Dar es salaam karibu yote nyumba zinajengwa katika makazi ambayo kwanza mamlaka haikumbuki hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.