Okay.
Okay . Sasa nashindwa kuelekeza hapa maana wana mifuko ya uwekezaji tofauti tofauti.
Sasa basi kwa kukusaidia nakuandikia namba zao hapa kupiga Ni free
0754 800544 / 0754 800455
0715 800554/0715 800455
0782 800455
Kama uko Dar es salaam makao makuu yapo jengo la sukari house Posta mtaa...
We nawe ubishi wa buree. Si useme tu Asante kwa ushauri. Maana ushauri uliopewa Ni wa maana na wewe unajua ila tu umemua kubishana.
Una bahati tu wazee wa jokes wako busy Jukwaa la siasa na uchaguzi.
Nikushauri kitu.
Kama hujajua au hujapata bado Biashara ya kufanya na hiyo pesa nenda kawekeze UTT Ni mifuko ya serikali ya uwekezaji. Kuliko kuweka bank au kuwa nayo mkononi huku ukiila kidogo kidogo, weka UTT iwe inazaa mdogo mdogo huku ukifikiria Cha kufanya. Na hata ukipata Biashara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.