Recent content by flowers

  1. flowers

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Kwa hiyo unashauri akomae
  2. flowers

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Haaa haaaaa
  3. flowers

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Labda niongezee Kuna vitu alivyonisimulia sinaviweka hapa amekuwa kwenye mateso makubwa ndo mana haya naona kwake ni madogo.Alikuwa bila wazazi mpaka anafika chuo amepambana na mabazazi tangu utoto
  4. flowers

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Nitakupa
  5. flowers

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Kila mtu na mtazamo wako Kama umewahi ishi na jirani Pua na mdomo na ukawa unashuhudia haya kila siku lazima uumie
  6. flowers

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Haaa haaaa Sasa wanaoandika hadithi za kweli Kama za shigongo utasoma kweli
  7. flowers

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Hapo sasa
  8. flowers

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni tabia kama za huyu kaka zinaumiza

    Helo guys. Moja kwa moja kwenye mada Mimi Nina jirani yangu ambaye amenitunuku kushare nami baadhi ya Hali yake ya maisha Story ni ndefu kidogo but ntajitahidi kuikatisha. Huyu kaka anaishi na huyo Dada Kama mke na mume.Na wamezaa mtoto mmoja.Kaka au baba Ana watoto wengine 5 kwa wamama...
  9. flowers

    JamiiForums Tanzania Swali hili linaloulizwa mara kwa mara na wanawake huwa silipendi

    Kwa hii comment yako naona hata mama yako mzazi unamwingiza hapa dada yako Bibi yako shwainiiii
  10. flowers

    JamiiForums Tanzania Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

    Eti na mimba yke jamaa nayeoa hajui
  11. flowers

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu kampenda Mwanamke wa Club

    Ndo yeye Unadhani aseme ni yeye muamze kumtandikan na fimbo za kejeli.anawajua vyema
  12. flowers

    JamiiForums Tanzania Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Hili suala la eti ukimganda Kama Hana hisia mnatoa wapi? Anaweza kukuua kivipi? Au Mimi sielewi jamani hivi mpaka watu wanaanza mahusiano na kushika Kasi huwa ni Nini kimetokea mpaka muwaze hayo? Kuua ni Hila za shetwani ingekuwa hivyo hata Ile ya mwanza mume na mke kuuana isingetokea mauaji...
  13. flowers

    JamiiForums Tanzania Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Nimewaona hata humu wamekuja oooh unaongea Ya wazer wa zamani.Ngoja wawe wanabadirisha waume mpaka wakome
  14. flowers

    JamiiForums Tanzania Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Kugandana !!
  15. flowers

    JamiiForums Tanzania Mdada, ukipata mpenzi Mgande

    Haya subirini hao wa kushushwa toka mbinguni.Wanapendana ndo Mana wapo . Haya ya kusema hapendwi. I dhana ya kuendekeza uhuni Sasa Kama A hukumpenda why usiende kwa B toka mwanzo ili huyu A asikugande? Ladies ni kuganda tu
Back
Top Bottom