Mshikaji wangu kampenda Mwanamke wa Club

Ndugu nisiwachoshe msinichoshe

Jamaa ametuijia leo akiomba msaada wa ushauri, tukasema acha wengine tuingie hapa, mshikaji kampenda mwanamke lakini hamjui vizuri, sisi tunaishi na mwanamke nyumba moja kama wapangaji maeneo ya kazi.

Mshikaji kampenda huyu mdada ambaye awali alikua anafanya kazi za barbershop, mara kwenye mahotel.

Nowdays mwanamke hanaga kazi yupo nyumbani, lakini anaweza kushinda geto mchana wote na ikifika saa kumi za jioni mwanamke anatoka na anarejea kwenye kuanzia saa tano mpaka hata saa nane.

Mshikaji akimbana mwanamke anamwambia ana mawazo na alienda club kupoteza mawazo, jamaa anampenda demu lakini bi dada anaonyesha Dalili zote za kua ni mwanamke w kudanga.

Jamaa anasema simu za mwanamke muda wote ziko busy mbaya mpaka wanagombana,mshikaji akisafiri inapofika usiku akiwa anampigia simu mwanamke huyu, mawasiliano yanakua ya tabu sana na wakati mwingine anamkatia simu,akija kumuuliza mwanamke anakua mkali na kumtamkia waachane.

Kimsingi jamaa kwa maoni yangu binafsi anapaswa amteme huyu demu,lakini kwa kua amekuja kuomba msaada wa ushauri nini afanye, tukasema tutaongea nae weekend, binafsi nikasema wako wadau waliokutana na kesi hizi za wanawake wa namna hii hebu niwaulizeni japo tumshauri nini hasa
Jamaa kaipenda "mali ya uma".
 
Huyo jamaa kaenda kutengenezwa kwa mganga. Kumtoa hapo inabidi itumike nguvu kubwa kuliko ya huyo mganga aliyemtengeneza. Ndo wanawake wa sikuizi, anakuendea kwa mganga kwanza ili kukufanya zozo. Ushauri wangu mpeleke akaombewe.
 
Nakushauri bro usijachanganye kuoa dem anaekunywa pombe maana utakua hauli mwenyew🤣
 
Huyo jamaa kaenda kutengenezwa kwa mganga. Kumtoa hapo inabidi itumike nguvu kubwa kuliko ya huyo mganga aliyemtengeneza. Ndo wanawake wa sikuizi, anakuendea kwa mganga kwanza ili kukufanya zozo. Ushauri wangu mpeleke akaombewe.
Sure, Ahsante
 
NYIE HAMJAJUA IN REALITY WANAWAKE HAWATONGOZWI SANA KWENYE REALLY LIFE KWAIYO KITENDO WANACHOFANYA INAITWA GHOST LOVE UNATUMA SMS HAJIBU ,UNA TEXT HAJIBU BECAUSE NO ONE IN REALLY LIFE ANAMPA ATTENTION SO ILI KUPUNGUZA MACHUNGU UKIWA NA NAMBA YAKE YEYE ANAKUWEWESESHA UNAKUWA GHOST LOVE WAKE ANAKUCHEKA AU KUIDHARAU SMS YAKO NDIO REALITY HIYO
 
Sijakuelewa vyema ndugu
 
Ndugu nisiwachoshe msinichoshe

Jamaa ametuijia leo akiomba msaada wa ushauri, tukasema acha wengine tuingie hapa, mshikaji kampenda mwanamke lakini hamjui vizuri, sisi tunaishi na mwanamke nyumba moja kama wapangaji maeneo ya kazi.

Mshikaji kampenda huyu mdada ambaye awali alikua anafanya kazi za barbershop, mara kwenye mahotel.

Nowdays mwanamke hanaga kazi yupo nyumbani, lakini anaweza kushinda geto mchana wote na ikifika saa kumi za jioni mwanamke anatoka na anarejea kwenye kuanzia saa tano mpaka hata saa nane.

Mshikaji akimbana mwanamke anamwambia ana mawazo na alienda club kupoteza mawazo, jamaa anampenda demu lakini bi dada anaonyesha Dalili zote za kua ni mwanamke w kudanga.

Jamaa anasema simu za mwanamke muda wote ziko busy mbaya mpaka wanagombana,mshikaji akisafiri inapofika usiku akiwa anampigia simu mwanamke huyu, mawasiliano yanakua ya tabu sana na wakati mwingine anamkatia simu,akija kumuuliza mwanamke anakua mkali na kumtamkia waachane.

Kimsingi jamaa kwa maoni yangu binafsi anapaswa amteme huyu demu,lakini kwa kua amekuja kuomba msaada wa ushauri nini afanye, tukasema tutaongea nae weekend, binafsi nikasema wako wadau waliokutana na kesi hizi za wanawake wa namna hii hebu niwaulizeni japo tumshauri nini hasa
Ameliwa huyo
 
huyo ni wewe wala sio mshkaji[emoji2089][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Back
Top Bottom