Recent content by florian kakulima

  1. florian kakulima

    Ofa collection ya Series + Movies + Softwares

    mm niko kagera nitaupataje uo mzigo
  2. florian kakulima

    Ofa collection ya Series + Movies + Softwares

    mm niko kagera nitaupataje uo mzigo
  3. florian kakulima

    Msaada; Utumishi portal system inanisumbua kujaza

    jamani naomba kuuliza iv kwa nini kwenye webu ya utumishi kila nikiingia inakataa kuna tatizo gani
  4. florian kakulima

    Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

    ndo ivyo vjana wa dunia ya tatu tunaishi maisha ya kuigiza tu akienda south afrika akaona fashin flani nae anavaa najua mashiga ndo wanavaa eleni (vipusa) uko marekani lakin uku kila mwanamuziki ni eleni da
  5. florian kakulima

    Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

    ahahah tunakoelekea ni kwamba kila mtu awe fundi make nguo izo ndi zimejaa madukani ni bora zipigwe marufuku
  6. florian kakulima

    Ikiwa mume kazaa nje ya ndoa je ni vyema akamuweka wazi mkewe?

    ni vizuri kuweka wazi hii inasaidia kuwaondolea watoto matatizo hapo b aadae
  7. florian kakulima

    Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

    pole sana kuwa makini pia kwanza angalia afya yako kapime ndo uchukue hatua
Back
Top Bottom