je kwakuwa hatuna mbadala basi ndo tukose haki ya kukemea au unahisi kunyamaza ndio ukombozi wa mtanzania utakuja kirahisi kwakuwa hatuna mbadala labda unieleweshe the way forward ya kutoka hapa tulipo
ubarikiwe sana umeingia kwenye akili yangu,tutenganishe mambo ya chama na mambo ya nchi ambayo yanahusa watanzania wote bila kujali vyama vyao.tusikubali kutawaliwa na siasa na wanasiasa kwa kuwa haitaleta maendeleo katika nchi hii bali tukiwa wazalendo kwa mambo ya kitaifa na nchi yetu tutafika...
nadhani wewe sio mwanachama wala si mshabiki wa cuf,ni pandikizi unaengalia nyuma wakati wenzako wanaenda mbele.umetumia asilimia 0.05 ya akili yako kufikiria embu jaribu kufikisha 5% angalau nahisi utakuja na mawazo mengine.tunataka hoja ya kuinua afya ya upinzani ili ndio mzee zipungue na kila...
pia kumbuka kuwa tunarudi nyuma kwa watanzania kukosa uzalendo wa kweli na nchi yetu,hakuna ambaye yuko juu ya sheria wote tunaongozwa na katiba,ukiiangalia post yake haina manufaa kwa nchi kweli amekosea kujenga hoja ila nadhani hoja ya msingi ni haki na mali za raia zibeshimiwe tu,kaeni nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.