kuna watu wamekaa kidini dini sana(wadini). Kuna tofauti ya watu wanaojua dini na WADINI.. alipotembelea dr slaa niliona wadini wakitoa comments za kijinga.. ila huku sijawaona tena
Hongereni sana, haswa mama Joe kwa ku coordinate, nimefarijika kusikia walihudhuria members wa kutosha.. Nimeshindwa kuhudhuria tukio hili la awali na muhimu kwa sababu ya majukumu mengine haswa tulipohamisha venue kupeleka Dar. Please kama kuna uwezekano mngetupatia mrejesho kwa...
Kwa Dodoma bei yetu ni chini kabisa kwa vifaraga bora. DOC ni 1,500/- Ukiweza kutupeleka kwa mtu anayeuza chini ya hapo na tukahakikisha tutaukuuzia kwa bei chini ya huyo mtu.. Nina uhakika huwezi kupata chini ya hapa. piga simu 0787-637006
Majogoo yangu mengi yamechoka na sitaki kufanya interbreeding, Mkuu ninaweza kupata vifaranga waliofanyiwa sexing, nataka majogoo ya bora ya kuku mchanganyiko( wa DOREP F1, RED RHODE ISLAND F1, BLACK austrolop) nikipata hata 300
Mimi nipo Dodoma, Ilikuwa rahisi sana kwangu kwa Morogoro kuliko Dar, as long watu wengi watakubaliana venue ihamie Dar nitajitahidi Kuangalia kama nitaweza kuhudhuria, Nitacomfirm wiki moja kabla ya tukio. Morogoro nilicomfirm mapema kwa sababu ni masaa mawili na nusu toka Dodoma.
Kwa conference package naona kama ipo very fair, labda accommodation, kwa Mororgoro kuna lodges zipo powa na cheap compared na Moro hotel. tuendelee kusikiliza wadau wengine wanasemaje. Kwaku naona ipo powa
Natafuta majogoo mazuri ya mbegu yasiwe na umri zaidi ya miezi 6.. Ningependelea sussex, kebro, dorep na red rhode island.. Au kama kuna mtu anauza fertile eggs(MUHIMU NILAZIMA NIONE KUKU WAZAZI). NAHITAJI KAMA MAJOGOO 100
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.