Recent content by Flash1

  1. F

    PreGE2025 Bila kujali chama au cheo tofauti na Nyerere ni kiongozi gani nchini ana ueledi, unyenyekevu, uwajibikaji na utekelezaji?

    Huwa namsikia Marehemu Sokoine na baadhiya waliokwenda zao. Siwezi kuwasema sijawaona. Ninayedhani katika kizazi changu alikuwa kiongozi wa mfano ni Hayati Deo Filikunjombe. Huyu ni CCM pekee niliyewahi kumpenda (baada ya Nyerere of course).
  2. F

    Msitu wa Nongeni uliopo Bigwa Manispaa ya Morogoro hatarini kutoweka

    Morogoro ni moja ya mikoa ambayo uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri kwa kiasi kikubwa mazingira. Waharibifu wa kwanza wa mazingira ni vigogo wa serikali na matajiri waliojenga mpaka kwenye hifadhi ya milima ya Uluguru na hakuna wa kuwaambia chochote. Mwaka huu...
  3. F

    Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

    Unaringia Imani ya babu sijui baba yako kwani uliambiwa watakusaidia kuingia peponi? Ungekuwa imani yako unaifahamu vizuri na unawapenda na kuwaheshimu wazazi wako kama Quran Tukufu inavyosema ungeshakuwa na aibu ukafuta huo uzi kuliko ujinga uliofanya wa kulinganisha uhai wa binadamu (tena baba...
  4. F

    Nimegundua shemeji yangu ana mwanaume mwingine. Je, nimwambie rafiki yangu kabla ndoa haijafungwa?

    Option ya tatu ni kula kimasihara mkuu. Then unamkanya huyo dme baada ya game.
  5. F

    Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Ulianza vizuri post yako mpaka ulipoanza kutukana na ulivymsifia Magufuli aliyetuaminisha ujinga huku pesa zikipigwa tena sana nyuma ya pazia.
  6. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Baada ya kuusoma huu uzi kuanzia mwanzo mpaka hapa nahisi nina deni ambalo nilitaka nisililipe baada ya MAKURUTA wakiongozwa na mwasisi wa uzi Riky kutaka kuharibu kazi aliyoianzisha mwenyewe. Nina masihara kadhaa ambazo kuweka code ni ngumu haswa maana itageuka kuwa chai na humu kuna...
  7. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Na nyie mnaboa sasa. Jianaume lizima limekaa kuandikia wengine 'chai' kwani huna la kufanya boss?
  8. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Acha umbea na wivu kijana. Kisa ulizidiwa ujanja ndo uje kutoa sumu huku? Muhimu mtu kaliwa kimasihara baaaas.
  9. F

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Bosi uligonga mbunye kwenye Baikoko? Ulikuwa na nyege haswa kuwa makini siku nyingine.
  10. F

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Salaam ziwafikie wote. Leo nimeamka nikiangalia mitandao ya kijamii fb,whatsapp n.k. nikaona jinsi Marehemu anavyosifiwa kuliko chochote kile. Nimewaza sana kwa kuona baadhi ya wasifiaji wakuu ni wafanyakazi wa serikali ambao kwa miaka 5 ya uongozi wa bwana yule hawakuwahi kuona nyongeza za...
  11. F

    Jamaa kampa demu mimba halafu kamkimbia

    Mwanamke kamuua mpaka mwanaye aliye tumboni mwake halafu bado mshkaji anamuita wife material, eti ana heshima, ana tabia nzuri na mpole..... huyo ni muuaji mkubwa sana na hafai kupewa hata moja ya hizo sifa. Big up sana kwa wanawake ambao wamepambana na ujauzito japo walikanwa mpaka na familia...
  12. F

    Kwa hili Arusha mnatuaibisha Watanzania

    Mtoa mada ana hoja ya msingi aisee, yaani huwa nikirudi home Chuga naanza kuujutia urefu wangu. Hiace utadhani umekaa kwenye kigoda huku magoti yamebanwa na seats; basi likiingia stendi mpaka kupaki ni karibu nusu saa yaani mara nyingine ni bora ushukie kabla ya stand uchukue tax kuliko ile jam...
  13. F

    Arusha: Kituo cha daladala Kilombero hakikidhi viwango

    Hi stand huwezi amini ipo katikati ya jiji ina mashimo haswa na vumbi wakati wa kiangazi na masika yakifika na ikinyesha nvua unaweza hata ukaanza mradi wa kufuga samaki.
  14. F

    Machinga Arusha mwisho leo Novemba 2, 2021

    Hawa wamachinga waliharibu sana jiji la Arusha yaani sehemu ya kutembea kwa dakika tano unatumia dakika kumi ukikwepa na kuruka masufuria ya watu barabarani kama vile una-dribble mpira.
  15. F

    Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

    Hawa ni wale wanaingiaga kazini kwa mgongo wa wakubwa sasa sema tu hii kesi imemkuta kwenye nafasi mbaya na imempwaya tayari.
Back
Top Bottom