Recent content by FLASH HIDER

  1. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    NA ana tatizo la kupoteza kumbukumbu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Suala siyo muda. Angalieni jamani, ninachkisema najua mnakiona ila ubshi wa kisiasa umewatawala.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Kichwa chake kipo poa???? umemsikia mtoto wake jana??? Hili watanzania tunatafuta bomu. litatulipikua siku yoyote.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Mimi pia na mtu ninaeamini kuwa afya ya mtu mara nyingi ni mapenzi ya Mungu. Lakini kwa hili la Lowasa sasa linanitisha kwani dalili zipo wazi. Watabibu tufumbueni macho.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu JKT

    Ukiona kimeagizwa ujue ni mihimu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mbona alivyoshughulikiwa Sheikh Ponda hamkupiga kelele

    Sina upako? Nipo kısheria zaıdı UOTE=Horseshoe Arch;12306412]Nadhani hili umeandika kwa utashi wako binafsi...halina baraka za dini!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    Hivi huyu si ndiyo alıkuwa na skandali ya kuvunja amri ya sita na mke wa Mbasha?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Gadner G Habashi usimpigie promo Membe hawezi kuwa rais wa TZ,unajiabisha

    Kweli QUOTE=MSIMISEKI SENIOR;12306317]Mkuu mbona kama unafukuzwa na nyuki? eleza amesema nini kuhusu Membe, wakati gani na wapi?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mbona alivyoshughulikiwa Sheikh Ponda hamkupiga kelele

    Kıpindi kile serikali inamshughulikia sheikh Ponda mbona matusi kwa polisi hayakuwepo? Sheria ni msumeno jamani, tukae kimya sherıa ichukue mkondo wake.
  12. F

    JamiiForums Tanzania John Mnyika - Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA asiye na maadili

    Watanzania hutujafikia huko. Imani zetu za dini na ustaarabu wetu haujawahi kutiliwa shaka. Siamini kama Mnyika anaweza kusema hivyo.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Siasa zinaiponza Mbeya City

    Unachobisha hukielewi. Kama ni mwana soka kweli usinetoa sababu hizo.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Siasa zinaiponza Mbeya City

    Usitoke na povu kaka. Kama kweli tunataka MCC iendelee kuwemo katika ligi kuu basi tutenganishe kati ya mpira na siasa.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Siasa zinaiponza Mbeya City

    Kwa majibu haya nina uhakika mwaka huu ni wa mwisho sisi watu wa Mbeya kuona ligi kuu kwa mgongo wa Mbeya City kwani itashuka tu daraja.
Back
Top Bottom