sawa mkuu... ila hiyo elimu ya calculation yako iko wazi au umebuni tu mkuu wangu!? Sidhan kama kunae anaejua mwanadamu wa kwanza aliumbwa lini kwamaana hata ukiifuata historia bado utapewa idadi ya miaka ya fuvu (predicted from death date) lakin haijasemwa ni lini mwenye fuvu alianza kuishi...
Umeongea vizuri sana MP, lakini katika swala hapo la kununua na kugawa chakula chakula, ukweli nchi yetu bado haijapata nguvu ya kukidhi jambo hili, pengine pia ningeongeza ushauri kuwa, serikali ingejikita zaidi kuwezesha ndugu zetu walioko kijijini ambao corona wanaisikia kwa majirani pengine...
Kakak nashukuru sana umenifumbua macho yaliyopata ukoma kitambo kidogo. Ni mtu wangu wa karibu sana niliye kua nafanya jitihada za yeye kuondokana na gonjwa hilo....yamkini umenisaidia sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.