Recent content by Flamegood

  1. Flamegood

    Kutuma mizigo kwenda Kenya

    Habarini, Nilikuwa nahitaji mwenye ujuzi, uzoefu wa kutuma mizigo worldwide aniambie ni wapi naweza kutuma mzigo wangu kwenda Mombasa Kenya kwa uhakika zaidi na gharama nafuu, ahsanteni
  2. Flamegood

    Watanzania kwanini tunapenda waimbaji wa kiume wenye sauti za kike?

    Mbona sio wote mzee ishu ni kuwa wanawake washakuwa wengi ulimwenguni, hivyo kupelekea kuwa na nguvu zaid kwa sasa wanawake ndo waamuzi kuwa msanii yupi anaeenda mjini yupi abaki, na kama ujuavyo wanawake wetu wanapenda kubembelezwaaaa haswa na sauti ya mtoto wa kiume ikiwa ya kumtoa nyoka pangoni.
  3. Flamegood

    Ningemshauri huyu dada lakini ndio hatuna mazoea kabisa

    Forsage nilijiunga ila nilikubali nimepigwa 17k ila ni kazi sana kushawishi mtu kujoin japo nilipata mmoja tuu alivyojiunga nikapata sh.6k ila roho iliniuma kwa kuwa ni kama unatapeli watu maana sio kila atakaejiunga atakuwa na power ya kushawushi kama niliyokuwa nayo hivyo ni kama ningekuwa...
  4. Flamegood

    Ningemshauri huyu dada lakini ndio hatuna mazoea kabisa

    Hahah ya mr kuku ilikuwaje mkuu
  5. Flamegood

    Ningemshauri huyu dada lakini ndio hatuna mazoea kabisa

    Mkuu kuna nyingine inaitwa forsage na kuna mulla empire vp mbona wanashiriki wanaleta feedback kuwa zinalipa.
  6. Flamegood

    Mapazia yanapatikana

    Piece moja sh.35, 000. Upana mita 2, Urefu mita 3. Deliveries zipo kwa Dar na mikoani natuma pia. Ukihitaji nipigie au nicheki whatsapp nikutumie samples uchague 0685269533.
  7. Flamegood

    Mashuka size 5*6 Yanapatikana

    Mashuka size 5*6 yanapatikana kwa Bei nafuu. Tsh.22,000 package Ina Mashuka mawili na foronya mbili. Delivery zipo kwa Dar na mikoani natuma. Ukihitaji nipigie au nicheki WhatsApp 0685269533. Nipo Ubungo External [emoji625]
  8. Flamegood

    Ngoja nikwambie sasa, sisi wahuni wa miaka ya 90 na tulivyo sasa

    Mkitaka stori kali za matukio niulize mimi miaka ya juzi juzi 2007 George Bush yupo madarakani Arusha hio oyaaaaa Watu walikuwa wanatubu
  9. Flamegood

    Nahitaji kutuma mzigo mkoani

    Habari wana JF, Mimi kuna ndugu yangu wa mkoani ameniomba nimnunulie bidhaa fulani huku Dar kwa kuwa huku inapatikana kwa bei rahisi kiasi 60,000. Sasa nilikuwa nahitaji mniambie ni bus gani nikituma huu mzigo utafika salama na kwa uhakika zaidi na kwa bei rafiki maana nilishatumaga mzigo...
  10. Flamegood

    Natafuta Jina la Kituo cha mafuta

    UOTO PETROL STATION
  11. Flamegood

    Ndoto zina maana?

    Acha bhan
  12. Flamegood

    Ndoto zina maana?

    Mh!
  13. Flamegood

    Ndoto zina maana?

    Mh! Sio kweli me mke wangu nampenda sana haiwezi kuwa hivyo kamwe
Back
Top Bottom