Recent content by fkimwaga88

  1. fkimwaga88

    MCB inakuja juu sana, NMB na benki nyingine kaeni chonjo!

    Ni takataka Hakuna kipya hapo labda Washindane na NMB. Jipe muda kafanye survey CRDB,EQUITY,absa na WCB yako ukitumia kiwango Cha kukopea na muda uleule mfano Miezi 24. Fanya analysis uone wapi ni nafuu.
  2. fkimwaga88

    Taleban wanaendesha ndege kama magari mitaani

    Ndoto zao huenda zilikuwa pamoja kuviendesha hivyo vyombo vya anga, Sasa ni muda wa kutimiza!!!
  3. fkimwaga88

    Swali kuhusiana na ubora wa magodoro

    TANFOAM ARUSHA TANFOAM ARUSHA TANFOAM ARUSHA Hakika hutajuta Kama ni mtumiaji wa magodoro! LKN Kama hujawahi kutumia si rahisi kuhisi utofauti.
  4. fkimwaga88

    Zaidi ya bilioni 200 kutumika kutandaza mkongo wa Taifa wa mawasiliano wenye urefu wa 4244km kwa kutumia miundombinu ya TANESCO

    Nahitaji kufahamishwa. Kuna mwaka Kati ya 2006/7 enzi za rais kikwete,ulichimbwa mtaro kandokando ya barabara kuu za nchi yetu, tuliambiwa ni mkongo wa taifa utaenda Kila mkoa na wilaya kwa ajili ya mawasiliano ya intaneti! Je huu mradi unatofauti gani na ule wa mh kikwete? Mwisho, tumeshuhudia...
  5. fkimwaga88

    Ulishawahi kuumunganisha/kumtàfutia mtu kazi harafu ukajutia kitendo hicho?

    Jamaa mmoja aliniomba kumtaftia mtu wa kusaidiana naye kuuza mgahawa, malipo angalau mazuri na muda ni asubuhi Hadi 12 jioni. Nikaenda kwa mama mmoja hivi kwa heshima sana kumuomba binti yake aliyetoka kuhitim form6, majibu yake yalinikatisha tamaa sana. Alisema lololooo! Mwanangu hawezi...
  6. fkimwaga88

    TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

    Alitaka kufanana na msanii mmoja wa Uganda.......kyagulanyi. Raha ya milele umpe ee bwana, Apumzike kwa amani Amina.
  7. fkimwaga88

    Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Ok, Riba ni 14% kwa mwaka ambayo ni reducing rate.
  8. fkimwaga88

    Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Ngoja nipitie kipengele kimoja kwa kingine nitakurejerea!
  9. fkimwaga88

    Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Asante kwa mawazo yako! Ila sivyo hivyo mjumbe.
  10. fkimwaga88

    Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Nashukuru kwa muda wako juu ya Jambo langu, hayo uliyataja nayajua yote, hesabu rahisi mfano umekopeshwa laki 1, utakatwa magarama ya bima na huduma ya mkopo Kama sh 9000/-,utalipwa kwa muda wa miezi 12 na Kila mwezi nilipe 10000/-, hivyo jumla ya hela yao ni 120000/-. Sasa unaambiwa uingize...
  11. fkimwaga88

    Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Nimekubali mkopo wa 8mln kwa makato niliyoyataja Mara miaka 8 kwa Riba ya 16asilimia kwa mwaka ni ni recing balance,hoja ni kuwa baada kuisha muda wa8yrs Kuna sh laki 2 Fulani iko nje ya miez 96 ya makato imetoka wapi ikiwa 138000 ni rejesho la Kila mwezi?
Back
Top Bottom