Recent content by FIZI KALI

  1. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Siri imefichuka kuhusu IPTL
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

    Kweli umelewa kiroba.ACT inadola toka mwaka gani?Act inajipanga kuchukua dola Na haina dola.Ingekuwa inadola mambo yasingeenda ovyo ovyo nchi hii
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

    Tamko lilitolewa tar 09/08/2014
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

    ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY - TANZANIA Maoni ya ACT-Tanzania kuhusu namna ya kutoka katika mkwamo uliopo katika mchakato wa Katiba Mpya 1. Nchi yetu iliingia katika mchakato wa Katiba kwa kushirikisha wananchi wote ili kupata Katiba bora yenye kuakisi matakwa ya nchi kwa sasa na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Mchange kawapiga msumari Wa moto chadena.Mnyika hoi
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane mwisho wake umefika rasmi

    Bavichaaa
  7. F

    JamiiForums Tanzania Said Arfi (mbunge wa CHADEMA) aeleza sababu za kurejea Bungeni

    Arfi kaongea kizalendo sana.hongera mzee arfi
  8. F

    JamiiForums Tanzania Congrats to Diamond and Lady Jaydee for making Tanzanians proud

    Winners is finally here. And cut! Ohh, it’s not a movie, it’s finally a wrap on the 2014 African Music Magazine Music Awards held last night at the Eisemann Center in Texas.The African Music magazine Awards is the only music awards show organised in the Diaspora that caters to all musical genres...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    kuna watu wakicomment kitu wala hushangai, uchama umewajaa badala ya kuangalia maslahi ya taifa letu,kwa style hii mtu wa namna hii ataendelea tu kuwa operator wa account za facebook za wazee flani ndani ya chama,vijana wenzako wanakuja wanakupita wanatumia vipaji vyao katika uongozi wa nchi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    kijana una fikra mgando saaana
  11. F

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    ni kweli tunategemea Makamba kuelewa imani waliyokuwa nayo walimu hawa kama mkombozi wao,usiwaangushe walimu hawa kama walivyoangushwa na wazee waliopita
  12. F

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    Namshangaa sana huyo jamaa,jibu hoja kwa hoja na sio post zenye chuki na majungu dhidi ya kijana mwenzetu,
  13. F

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Walimu vijana watangaza kumuunga mkono January Makamba

    MTANDAO WA WALIMU VIJANA TANZANIA MAAZIMIO YA MTANDAO ndugu wajumbe, Habarini za wakati huu.... ndugu zangu, Kwa mapenzi ya Mungu Tumekutana hapa leo kufanya Jambo la Kihistoria kwenye maisha yetu ya kazi, hakika mimi na wenzangu hapa mbele, tunawashukuru kwa imani yenu mliyotuonyesha...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    January atakuwa rais Wa Tanzania 2014
  15. F

    JamiiForums Tanzania Sio lengo la ACT Tanzania kupambana na CHADEMA

    Act ni msingi Wa uweledi katika Siasa za Tanzania
Back
Top Bottom