Recent content by fite fite

  1. fite fite

    JamiiForums Tanzania Tushirikishe na sisi ni kwa namna gani uliweza kufanikiwa

    Waooh Karibu Jf kurwa, hakika wewe ni Moja ya vijana wapambanaji Sana niliowahi kukutana nao. Nakuombea mafanikio makubwa kwa huduma yako kwa jamii. Vipi hizo juice unatengeneza kwa oda au tulizibahatisha siku Ile tu maana zimenisaidia Sana kwenye tatizo ya appendix na kutokupata choo vizuri...
  2. fite fite

    JamiiForums Tanzania Natamani Rais Magufuli atoe tamko hili

    Leo ngoja niseme kitu kinachoniumiza sana hata nikinyakuliwa niwe nimetoa langu la moyoni, ambacho natamani Sana MH. Rais JP Magufuli alitoe Kama tamko na bungeni sheria itungwe kabisa ili kusimamia kisawa sawa. Watoto wa viongozi wa serikali tusome nao shule zetu za serikali (kata). Najua...
  3. fite fite

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

    Yeye amesema chama Cha mapinduzi (CCM) yeye Kama mwenyekiti hawawezi kumpitisha aliyempita umri, rejea hata mh. Mstaafu JK alisema hivyo. kwahiyo hapo Katiba haihusiki, usi-genaralize. Bali ni ndani ya chama na utaratibu wao.
  4. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Mwanasheria na watetezi wa haki za binadamu.
  5. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Mimi pia nilikuwa na bamkubwa kaka rafiki yangu so kusema baba yangu nilimaanisha bamkubwa, labda ningesema baba yangu mzazi hapo ningekuwa wrong.
  6. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Hongera kwa kuongeza siku za kuishi maana kucheka ni Tiba ndg.
  7. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Tena majani ya mwembe chai magomeni[emoji2]. Yametokea kweli hayo subiri utajionea mwenyewe labda macho yawe na hitilafu.
  8. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Upo sahihi, ndio maana nilishindwa kuandika yote ndugu.
  9. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Ukuaji mwingi mwisho wake ni aibu. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  10. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Ubarikiwe Sana ndg
  11. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Dhambi hiyo sio vizuri ndg[emoji17]
  12. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Umenikumbusha kitu, Kuna jamaa alikuwa anaumwa aliomba msaada wa matibu kwa ndugu na jamaa hakuweza kujitokeza na kumsaidia, siku amefariki wale wale walioshinda kumsaidia wakajitokeza kutoa Rambirambi ndefu ambazo zingetolewa enzi za uhai wake angeweza kutibiwa na kupona. Mimi ni mvivu wa...
  13. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Nitaendelea Leo usiku mkuu Mimi ni mvivu wa kuandika nafikiri ukifuatilia vizuri utatambua hata makosa mengi ya kiuandishi. Tuwe pamoja tu.
  14. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Tuache utani uandishi ni mgumu jamani waandishi tuwaheshimu Sana. Mimi nilimaanisha yeye alikuwa mkondoa B Mimi nilikuwa mkondo A yaani majengo mawili tofauti
  15. fite fite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malipo ya wema wangu

    Ukimaliza wewe haitakuwa true story Tena utakuwa umetuongopea [emoji2956]
Back
Top Bottom