Recent content by Fish Eagle

  1. F

    Msaada kwa Wanachama wa LAPF

    Wahi kabla siku 90 hazijaisha toka mtoto alipozaliwa,,kuna fomu ya kujaza ipo online www.lapf.org unaambatanisha taarifa ya uzazi toka hosp km bado mtoto hajapata cheti cha kuzaliwa,,ni rahisi,,atapewa 149% ya basic salary yake. Hakuna usumbufu wala ubabaishaji ni fao la wazi sema wengi hawajui...
  2. F

    Nitaipata wapi furaha ya kweli?

    Get busy!! Usikae idol utawazua na kuwazua bila majibu...they say "an idol mind is the Devils wirkshop"
  3. F

    Lori lenye shehena ya bomba lashambuliwa Mtwara!

    Dah mkuu hapa umeniacha!!!! Ni as if ulitaka tu kutoa lako la moyoni kuhusu cdm!!!
  4. F

    MAHUSIO YA DADAZ WA SASA , Kero, hivi ni lazima yaanze na mizinga kwanza....?

    Ila wadau haka katabia siyo kabisaa mi pia leo kamenitokea eti kadai kapoteza nauli nimtoe 50 arudi home...wakati toka nimeet nae hajawah kunipigia ndo leo katua na kibom.
Back
Top Bottom