Namkumbusha tu Manara, Mwakalebela alikula mvua bila hata kosa kamili. Boniphace Wambura hana tena hamu na mpira yaani hana hamu tena. Malinzi, Kaburu, na wengine mention them. hawataki hata sikia mpira wa miguu. Cheza na Karia wewe.
TFF imemlea sana Manara. ni mtu hatari asie na akili na anatumia mdomo wake kwa vyovyote vile kupata mlo. ikumbukwe aliichafua sana sura ya mpira wa tanzania alipopost Simba inatumia madawa na hujuma kwa timu za wageni. majhuzi kasema sajili zetu kuna watu wanaleta mchezaji dola laki moja...
WANAWAKE WAJITUNZE AISE.HII MIKOROGO NA MATAKO BANDIA NI JANGA. SIJUI HUKO SAUZI AFRIKA NDANI YUKOJE KWA SASA. MAENDELEO HAYANA CHAMA - NIMEMISI HII NAOMBA MNIOMBEE. MALABUKU
Hata kawaida ukitaka ongeza mke lazma uombe ridhaa ya mke aliepo. Hapa huyu Sheikh mzinzi anashauri nini. Waislamu heshimuni haki za wanawake na wao ni binadamu pia. UISLAMU UNAONGOZA KUDHARAU WANAWAKE. ACHENI HUO USHETANI? POVU RUXAAA.
Wakenya ni kweli manyang"au nimesubiri nione mtajitosheleza n.a. chakula waaapi. Umeleta ugoro tu hapa ila kula mnategemea Tanzania. Poor you Nyanga'aus .
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
MACHADEMA tuacheni CCM tuko imara sana. Mmelikoroga wenyewe mlinywe. Mdee ana haki zake na sheria anazijua. Subirini awawashie moto.
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Weeee unaona upuuzi n.a. ukabila as MaCHADEMA ndio maana nawaita wajinga hovyo.
Mimi mchagga Marangu Uomboni. Haya hoja nyingine nyumbu as hedi wewe
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Weeee unaona upuuzi n.a. ukabila wa MaCHADEMA ndio maana nawaita wajinga hovyo.
Mimi mchagga Marangu Uomboni. Haya hoja nyingine nyumbu wa hedi wewe
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.