Recent content by FISADI

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Mama Lwakatare adai mteja wake alitimiza maelekezo ya NEMC

    wakimbomolea MUTA atalala wapi jamani? Hawawaonei huruma watoto wake?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wote walio nje ya nchi kurudishwa

    Mwananchi hawataki watu wa copy text from their website Panga la JPM sasa lanyemelea balozi Panga la JPM sasa lanyemelea balozi
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Rais Jamali Malinzi

    jamal malinzi anachukia Maalbino kama vile Manara
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

    gesi ipo, makaa ya mawe yapo
  5. F

    JamiiForums Tanzania Which country has best intelligency agency

    1. Inter-Service Intelligence, (ISI) Pakistan
  6. F

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums Impact: Ndugu Bakari Jabiri na Serikali wasalim amri

    hakuna coincidence hapo
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare yapigwa X

    Tibe je atalala wapi?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare yapigwa X

    Sasa aikibomolewa akina Humphrey watalala wapi?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums Impact: Ndugu Bakari Jabiri na Serikali wasalim amri

    Haya ndio mambo ninayotaka kuyaona. Siku 3 zilizopita nialianzisha uzi na kulalamika kuhusu utendaji wa kazi wa Wakala wa Mawasiliano wa Serikali kilicho chini Ndugu Bakari Jabiri. Malalamiko yangu yalilenga kuonyesha jinsi gani serikali ya Magufuli ilivyo lege lege kwenye : TRANSPARENCY...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Bosi wa e-Government Dr. Jabiri Kuwe Bakari, kama umeshindwa kazi kaa pembeni

    sasa kasoma MALESHA wee wamuona ana maana?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kova: Jerry Muro kuchunguzwa kwa hate crimes dhidi ALBINO. Ashangazwa na kimya cha DRFA na TFF

    Huyo Almasi Kasongo ndio nani? Mtanzania kweli? mbona jina limekaa ki Congo Congo?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Bosi wa e-Government Dr. Jabiri Kuwe Bakari, kama umeshindwa kazi kaa pembeni

    hawa ndio watetezi wa Jabiri Jamiiforums
  13. F

    JamiiForums Tanzania Bosi wa e-Government Dr. Jabiri Kuwe Bakari, kama umeshindwa kazi kaa pembeni

    unamshusha hadhi watu wenye certificate Hiyo kazi ya ku set up email haihitaji cheti
  14. F

    JamiiForums Tanzania Bosi wa e-Government Dr. Jabiri Kuwe Bakari, kama umeshindwa kazi kaa pembeni

    sisi tunamrahishia kazi mwajiri wake Hicho cheo chake hata certificate huhitaji kuwa nayo. Kashindwa kuweka majina ya menejimenti yake jiulize why?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Bosi wa e-Government Dr. Jabiri Kuwe Bakari, kama umeshindwa kazi kaa pembeni

    Bora nikavue samaki kwetu Kigoma Hivi hicho cheo chake mnakiona kikubwa mnoo eheee?
Back
Top Bottom