Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
Heshima yako Mkuu.. Napenda kuskia maoni yako khs game ya juz kati ya Usyk vs Rico..
Na v yapi maoni yako baada ya tetesi ya game kati ya mnyama Gervonta 'Tank' vs Floyd Schofield..
Huko PM sasa..
Me- Mambo Mdada..
Mdada- Safi
Me - Nimeona unatafuta Mtu wa kuishi nae nadhani nipo tayali..
Mdada- Upo wapi na Unajishughulisha na nini?
Me- Nipo Dar najishughulisha na biashara..
Mdada- Biashara gani?
Aise huko PM ni kama Police tu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.