Hapo zimefika cutt of point 4 kwa masomo mawili ?
Tambua
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1
S=0•5
Halafu pia division sio inshu ya kuwa na sifa ya kupata chuo,maana wewe una division 3 hupati chuo,
Lkn wakati huo huo kuna mwenye division 4 aliyemaliza 2014.Anapata chuo na sifa ya kusoma degree
Mimi ni kijana wa miaka 29.
Mwajiriwa.
Nahitaji mwanamke wa kuoa.
Dini yeyote.
Awe na umri kuanzia 20-28
Awe na elimu kuanzia kidato cha 4 kuendelea.
Asiye na kazi ya kumuongezea kipato atapewa kipaumbele zaidi.
Mwenye kazi ya kumuingizia kipato atapewa chaguo la pili baada ya kukosekana asiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.