Recent content by Firos

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu wakamatwa na TAKUKURU kwa kula rushwa za Tsh 500!

    Hawa Hawana jipya. Ni muhimu kuwakamata lakini mbona kwenye mambo madogomadogo tu ndio utawaona kwenye maslahi ya Wanene wanaoita bilioni za watz vijisenti hawasikiki. Danganya toto tu hawana la kunishawishi kuwaamini.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: Safu Mpya ya CCM imejaa Taswira ya Ufisadi

    Tafuta hoja bana hapa sio nyimbo hizi. Hizi ni FACTS. Mahakamani hakuna haki na uhuru wa maamuzi hivyo wananchi ndio wanaotakiwa kufahamu kinachoendelea wachukue hatua kwani mahakamani ni kuchezeana shere tu, hasa unapodai haki kwa aliyezichukua na kuvuruga utaratibu wa haki Tanzania hasa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    Mwisho wa ccm na mafisadi wake unanukia tayari.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mhe. Zitto kushindwa kutaja majina ya waficha fedha Uswiss kama alivyoahidi ni woga?

    Kiukweli zito kafanya juhudi kubwa sana. Kila mtu ana madhaifu yake lakini Zito is very BRIGHT katika vitu anavyofanya. Sa wanaJF sijui mkoje kwasababu wengi mnapinga tu na kumshambulia bila hata hoja madhubuti. Jamani hebu jaribuni hata kumtia moyo kwa kile ambacho anakifanya sio kumkatisha...
  5. F

    JamiiForums Tanzania The Most Corrupt Countries In Africa

    Vigezo tafadhali.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

    Akatambike asafishe harufu anayonuka
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

    Aje kwa mamong'o, manjere na machali ya rr!!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Hon Mwakyembe kama wewe unachimba dawa angani waache maskini tuchimbe chini tafadhalii

    Ni kweli atuache wenye baiskeli zetu za asili kwa bahati tukipanda gari tuchimbe dawa tunapojisikia kwani ni mojawapo ya starehe na anasa zetu.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

    Amesema mwenyewe kuwa alisikia hakuna cha maono. Hatutaki maono ambayo hayana justification.
Back
Top Bottom