Eti hawa ndio tuliowapa dhamana ya kulinda rasilimali za nchi. ww kiongozi unamkamata mwizi unamwachia unarudi tena kutamba kwa walio kupa dhamana hiyo. shame
Mahali popote penye WATAWALA patakuwa shwari tu kama WATAWALIWA watakubali kutawaliwa. Ikitokea wakapinga kutawaliwa basi wataitwa kila aina ya majina kama WAHAINI, WANAHARAKATI, WASIOPENDA AMANI etc.
Hizi mnaziita fujo lakini ni harakati za kupinga kutawaliwa. Wananchi wanahitaji kuongozwa sio...
Mimi sioni hata haja ya wabunge wa upinzani kuwepo bungeni kwani Bunge la huyu mama ni kama Kikao cha chama kujadili sera za chama ilimradi tu linaitwa bunge. Bunge gani linashindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi. Watoto wanafail, kila kitu kinapanda maisha magumu rushwa inaongezeka eti...
Thatha, ulichokiandika hiki ndio msingi wenyewe wa sera hii " Kutakuwa na serikali kuu ambayo itakuwa na wajibu wa kushughulikia masuala ya kitaifa ikiwa ni pamoja na ulinzi na usalama sambamba na ushirikiano wa kimataifa. Aidha, kutakuwa na serikali za majimbo ambazo zitakuwa na jukumu la...
Rais anawalaumu wanasiasa ! Kila sehemu ni kulaumu tu. Acha lawama fanya kazi wewe ndo umeshika mpini. Kwani Rais sio mwanasiasa mbona ni wale wale kundi moja.
Vizuri chama kina ujanja, wanachama wake ni wajanja, Nchi ni ya ujanja ujanja tu. Hebu jaribu kufikiri nje ya CCM USILIMIT Fikra zako au unafaidika na kuwepo hapo
Ukweli ni kwamba hiki ni chama cha wapiga dili. Nchi haiwezi kuendelea kwa kuungaunga na kutoa data za uongo. Hapa walipotufikisha panatosha tunahitaji mawazo chanya yenye kufikiri nje ya ilani ya chama. Tunahitaji kiongozi mwenye nia ya dhati ya kututoa hapa tulipo. Huyu huwezi kumpata ndani ya...
Ahsante mzee mwanakijiji kwa swali hili zuri.
CCM imepoteza mwelekeo haina vision leo hii Tanzania hatujui tunaelekea wapi na tutafika lini na tutafikaje hii yote ni sababu ya CCM. Wangekuwa na nia ya kweli ya kulinda na kusimamia rasillimali ya Nchi positively hiyo miaka 50 tungekuwa mbali...
Nahisi itabidi Mode aanzishe jukwaa la "TANZANIA TUITAKAYO". Haya ndio mambo muhimu ya kujadili hapa jamvini sio kutumika tu kisiasa. Si kwamba watanzania wote ni wanasiasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.