Recent content by finito

  1. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha kuona viongozi wetu wakitafuta nani ameficha sukari

    Mimi najiuliza kama serikali in a maghala ya mahindi kwa nini hakuna ya Sukari Pili wakishaikamata sukari yote iliyofichwa watakuwa wameshaleta ya kwao au ndo hapo tutkapokoma? Huyo sukari inayokamatwa ina uwezo wa kutumika kwa siku ngapi?
  2. F

    JamiiForums Tanzania KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

    Kuna watu wanapenda sana kushadadia habari za viongozi wa dini, kazi kuchukua mawe na kuwarushia. Sijui vichwani mwao wanaona kama kiongozi ni mchafu basi inawapa faraja kwamba wao sio wachafu pekeyao afadhali na askofu yumo na kujitia kupiga mikelele. Mwanaume/mwanamke mwenye adabu hajengi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Hu Hutaelewa hadi yakikutokea Au yakimtokea unayemfaham. Endelea tu kushabikia
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawanyima dhamana Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare

    Hebu elezea jinsi unavyoelewa namna huo wizi ulivyofanyika
  5. F

    JamiiForums Tanzania Pres. Magufuli: Don't Put Your Sub-ordinates on Short-Leashes (ala Kilango)

    Hao wasomi ndio mazingira haya yatawafaa? Au ukiwa msomi hudanganywi? Teh teh teh.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela anena haya baada ya taarifa ya kuenguliwa nafasi yake

    Nikwambie ndugu yangu ni Kwa vile tu amemteua mwenyewe ndo maana anafanya anavyotaka. K wani atakuwa amesema uongo ili iweje. Inge make sense kama alikuwaga pale useme anaficha uovu wake. Na je kumwajibisha kwa Sababu hiyo unajua impact yake? Sasa watu washajua kama hamumtaki kiongozi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela anena haya baada ya taarifa ya kuenguliwa nafasi yake

    Why kushangilia? Hata we we unaweza kuwa hutumii nadharia sahihi. Kwa vile amemteua yeye ndio maana anafanya atakavyo. Unadhani amedanganya ili iweje? Inge make sense kama labda alikuwa pale tangu zamani useme anaficha uovu wake. K wani kuweka mtu Mpay na kumuondoa sio shida. Anachofanya Simi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela anena haya baada ya taarifa ya kuenguliwa nafasi yake

    Taifa la waliojawa uchungu. Wanadhani wakishangilia kukosa kwa Wengine Wao watapata.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawanyima dhamana Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare

    Inachukua dakika ngapi kupata ndoo. Yaani pale kisutu hakuna Maduka hadi useme walijuaje? Unajua mahakama ilipo?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawanyima dhamana Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare

    Hebu soma ulichoandika. Uko sawa kweli wewe? Kwa nini unasema kwenda huko? Una Shida wewe. Umeshawahukumu ni wezi sio??? Nini Kazi ya Mahakama? Wao ni watuhumiwa tu. Subiri kesi iishe. Punguza mihemko. Siku nyingine ukiona mtu ameshtakiwa ujue huyo ni mtuhumiwa tu hadi mahakama itoe hukumu...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawanyima dhamana Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare

    Wewe umenena. Ni vema pia watu waache kuchekelea mabaya yanayowapata watu. Haijalishi ni makosa makubwa kiasi gani. Hivi mtu unathubutu kabisa kufurahia waziwazi? Kuna dini inayoruhusu haya! tuchukie Maovu sio mtu na hapo ndio unaweza kuwa fair kwenye judgement. MWisho wa yote tusubiri ukweli...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

    Kuna haja ya watu kuisoma hii report. bora hata wangesema kama hapo Juu. Yetu macho na masikio
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

    "What is undeniable, however, is that after the addition of EGMA, the proposal proceeded quickly. In November, mandate and fee letters were signed, the former being between Standard Bank, Stanbic and the Ministry of Finance for the Government of Tanzania. This mandate did not mention any partner...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

    Kuthibitisha k Hapa kuna mkanganyiko. Ili uite peas ilikuwa illegal inabidi uthibitishe kwamba serikali iliibiwa. Kadiri ya maelezo ni kwamba eti waliongezewa ada ya mkopo toka 1% hadi 2.4%. Je hawakujua? Walikubalije? Tusiangalie mwisho wa hadithi tuangalie mchakato wake. Na kama walipewa bei...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Sheria ya Kutakatisha Fedha - Albert Msando

    How do you say it was illegal while they had a contract with stanbic. Egma has never done business with government but with Stanbic. Linking Egma with the government! Mmh. Let's wait to see the facts as the case ikisikilizwa
Back
Top Bottom