Kosa la kwanza ulilofanya ni kukubali awe mke wako, na hili ni kosa la wote waliokubali kuoa au kuolewa, kosa la pili ni hilo la kumwacha unalotaka kufanya. Naomba ufahamu mambo haya matatu kuhusu aina za watu katika kila mgogoro unaotokea, 1. kuna watu wanaoepuka migogoro kwa kuipuuza au kuiona...
Kodi kwa wafanyabiashara wadogo ni kweli wapunguziwe au wasitozwe kabisa, mtu ana mtaji wa milion moja tu, hapo mwenye nyumba anataka laki tatu, tena TRA wanataka 450,000 kwa mwaka kabla hujapata faida si mtaji umeisha? Wacha awakemee kabisa as long as hakuwatuma watoze kiasi gani ana haki ya...
Aliposafiri JK wakati wa utawala wake walimnanga vibaya kwamba kila mwezi yuko nje nje tu hawezi kuongoza nchi kwa kusafiri safiri, sasa kaja asiyesafiri wameanza kumsema hadi anajua anasemwa hasafiri kisa hajui Kiingereza na atakapoanza kusafiri wakosoaji wake watasema kodi yao inatumika kwa...
Hujui ufisadi ulivyopiga kambi na bado kauli zake hazizai matunda ya haraka kukabiliana na ufisadi, ona huku kwa Mugufuli akisema tu kila muhusika anatafuta pa kutokea
Upendo ni kujitoa, yaani kufanya kitu kwaajili ya mwenzi wako na si kwaajili yako tu. Kwanza muulize angependa uwe unanyoa baada ya muda gani? Pili fanya anavyopenda iwe kwa kuwa yeye tu ndo mwenye haki ya kupamiliki na kupatumia na kwa sasa hajaona shida pakibakia na hizo nywele awe anachezea...
Habari wana JF. Kumetokea maneno mengi mitandaoni kuhushu msimamo wa Rais kuhusu katiba mpya na kuwalaumu sana washauri wake wakiwemo mawaziri haswaa Waziri Kabudi. Kwa maoni yangu kama raia huru ni kwamba:- Rais wa nchi yetu kiutawala hutenda kazi zake kwa kuongozwa na katiba ya nchi ambayo...
Kiutawala, katika nchi yetu Rais hutenda kazi zake kwa kuongozwa na katiba ya nchi, sheria za nchi na kanuni zake. Nje ya hapo hakuna mtu mwenye mamlaka kiutawala wa kumwelekeza Rais ili atekeleze maelekezo yo yote. Bali watu husika wanaweza kumwomba jambo fulani lifanyike au kumshauri na...
Safi sana kwa ukweli huo, naona hekima hapa ya utu, heshima, utii na msaada katika wajibu wa kutumikiana kwa kufaidiana mmoja kwa mwenzake. Umeweza lililowashinda wengi wanaobadili wajibu wa kijinsia kwa sababu ya Mali,umri na elimu. Hongera mume wako kapata kitu chema cha kubariki. Biblia...
Ni kweli ndugu labda hawatarajii kwamba kwa sababu hizo watadharauliwa au kunyanyaswa kwa kutoheshimiwa na kustahili kupata utii toka kwa mke kwa sababu ya kupenda
Mara nyingi ndoa ambazo wanawake wamewazidi waume zao kimapato, kielimu na kiumri hazijawa mahali salama penye heshima na utii kwa mume na kwamba waume hao wakaishi kwa amani na furaha ya kuziongoza familia zao. Wanawake mlioweza hili tuambieni mmewezaje? Na wanaume mnaokabiliwa na wake zenu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.