Recent content by finance2014

  1. finance2014

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wanaedit slip usijaribu hata kidogo
  2. finance2014

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari mkuu naomba link ya hiyo sportbet playstore nimeitafuta naona wananiletea app za predictions tu
  3. finance2014

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unatumia laini bro kuweka na kutoa pia una withdraw kwa laini yako uliyotumia kujisajili
  4. finance2014

    Frame inahitajika maeneo ya Ubungo Riverside, Mwenge au Makumbusho

    Stand kabisa sitaki frame ya ndani
  5. finance2014

    Frame inahitajika maeneo ya Ubungo Riverside, Mwenge au Makumbusho

    Habari wanajamvi, Nahitaji frame kwa ajili ya nguo za kike bajeti 150,000-200,000 maeneo ya Ubungo Riverside, Mwenge au Makumbusho iwe inatizama barabarani isiwe ndani wala ubavuni tuwasiliane 0716137965.
  6. finance2014

    Eneo lipi kati ya haya linafaa kwa biashara ya nguo?

    Habari wanajamvi nauliza kwa sasa kati maeneo ya Sinza au Kinondoni wapi panafaa biashara ya nguo za kike
  7. finance2014

    Nilikopa Tigo Niwezeshe ila simu imeibwa na nimebadili laini, nitatafutwa?

    Habari Wakuu niliibiwa simu katikati ya mwezi huu nikafanya maamuzi ya kubadili line sasa nilikuwa na deni la tigo niwezeshe la 160,000 lilipaswa kulipwa mwezi ujao. Nauliza, je Tigo watanitafuta au nijisalimishe kuclear jina langu, kuna yeyote aliyewahi kubadili line akiwa na deni na...
  8. finance2014

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tunaomba link ya hilo group mkuu
  9. finance2014

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu wa pili won [emoji122]
  10. finance2014

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwenye link ya app 22bet naomba
  11. finance2014

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwe unashare mkuu nasi tupite nazo
  12. finance2014

    Madhara ya kung'oa jino gego la juu

    Kama unaishi dar, mwenge africasana kuna hospitali inaitwa holistic ni wataalam wa tiba ya meno, niling'oa jino la juu na sikupata madhara yoyote
Back
Top Bottom