Recent content by financ

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari aina ya noah nina mil 5

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye nayo tuwasiliane
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Finance

    Nawashukuruni sana wote mliotoa mawazo mbali mbali ili kusaidiana katika changamoto hii ya ajira, ninafanyia kazi ushauri wenu nawashukuru pia wale walionipigia simu kuonyesha kuwa mnaguswa na matatizo ya watu wengine Mungu awabariki.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Finance

    Habari za muda huu wana JF. Nina uzoefu wa mwaka mmoja wa kufanya kazi kwenye microfinance nimekua nikitafuta kazi hapa dar kwa muda sasa bila mafanikio mpaka nafika sehemu nakata tamaa kabisa naamini katika jukwaa hili naweza kupata msaada kwa sababu wapo watu humu JF wenye moyo wa kusaidia...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

    Habar za muda huu wadau samahani kama kuna anayejua kama matokeo ya usaili wa posts za freelencers tuliofanya tar 15/5 kwenye ofisi za sales DSM, coz walisema after 7 days watakua wametoa majibu nashukuru.
  5. F

    JamiiForums Tanzania NECTA Yabadilisha Viwango vya Ufaulu Form 6, DIV I Mwisho point 7

    div one wameibana xana
  6. F

    JamiiForums Tanzania The power of God for those unemployed!

    all things work together for good to and for those who love God
  7. F

    JamiiForums Tanzania Updates tpb (banking operation officer posts)

    Wadau naomba kuuliza kwa wale waliofanya oral interview pale TPB HQ kuna mtu aliyeitwa tayar? natanguliza shukurani
Back
Top Bottom