Kukata tamaa ni dhambi Mungu yupo atakuponya. Mimi nilishawahi kupata shida kama yako nilipooza mguu wa kushoto sababu nikosewa kuchomwa sindano mchomaji alichoma kwa bahati mbaya kwenye mshipa wa fahamu. Nilizima kabisa mguu kila hatua ya mwanadamu nilianza kujifunza upya kuongea, kukaa...
Mungu atamlinda ila kwakuwa anang'ang'ania MAUTI itampata na yeye na hata wewe mdogo wake ni Jesus name
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Haina shida alee Mumbai kisha azae hakuna tatizo hapo. Ukiua utauawa huyo mtoto aliye tumboni ni rais ajaye.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Mkuu unatuchosha si waulize kwanini hawaptint? Au wanaprint kwa pesa? Shida iliyopo kwako ni ROHO ya unyonge, waulize kwanini wakupe sababu
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Cheti ni cover tu na unapewa kama hujafeli domo lolote ila transcript ni MATOKEO yako ya chuo na hiyo ni muhimu zaidi na inazuiliwa kama una deni chuoni.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Una uhakika na anayosema mwanafunzi wako? Ysmkini anakudanganya nenda mwenyewe kajiridhishe ndo ujue cha kufanya.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Mkuu wa chuo anajua? Kwanini kama hana tatizo wamzuilie? Be specific shida ni nini ili tukusaidie. Haileti sense mwanafunzi hana tatizo halafu anyimwe transcript.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Transcript ni matokeo yote ya chuo kwa mihula na miaka yako. Na ni haki yako sio ombi, kama inazuiliwa basi clearance haijakaa sawa yaweza kuwa unadaiwa bado lakini mdaiwa anatoa ubishi kuwa hadaiwi, hapo huwezi kupewa. Fanya clearance!
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.