Mi naona dada ana haki ya kukukimbia kwakuwa huwezi jua kwanini alikataa,na pia uliweza kutumia kauli nzuri ama kumuacha angeweza kufanya kwa muda wake.
Ila ukimpiga kofi mara ya kwanza hilo ni kosa litakaloendelea mpaka mkiwa kwenye ndoa,labda utafute mstakabali mwingine ila akikubali kurudiana...