Recent content by Filomena

  1. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana ya mwanamke

    Shosti tupe ujuzi waliaji basi lolest
  2. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana ya mwanamke

    itakubidi ujipange kumwambia ukweli na i hope hujampotezea muda wake mwingi na usimwache kwasababu unahisi unayemuona/mwanamke mwingine ndo anafaa kuwa mke
  3. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana ya mwanamke

    tutaingia motoni kwa vitu vidogo vidogo sanaaa
  4. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana ya mwanamke

    Subiri kidooogo chamoto utakiona Ujue mwanamke akikupenda anapenda kweli na akikuchoka anakuchoka kweli so trust me bora umwambie ukweli mapema kuliko kuharibu matarajio yake Shidaa yenu inakuja mkifanikiwaaaa daaah mnaona mlieanza naye si kitu hapo lazima maisha yakunyooshe
  5. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana ya mwanamke

    Daah pole mwaya maana nimekufeel
  6. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana ya mwanamke

    hahahaha we kiboko Unajua pale unapojitoa kwa mtu kwa kila kitu kiasi hata akipata shida inakuwa kama yako then unaachwa kirahisi tu lazima maneno mabaya yakutoke kwasababu hajui amekuumiza kiasi gani. Mimi huwa nasema kitu usichopenda kutendewa usimmtendee mwenzio
  7. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Mwisho wa siku wabongo ndio tunaotumia mitandao vibaya walioanzisha walikiwa na maana yao ndomana kuna app hadi ya ku date
  8. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wote ni sawa

    Kote huko ulikuwa unatafuta utofauti au:what:
  9. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ni pasua kichwa, ila siivunji hii ndoa. Nipeni mchango wa mawazo jamani

    Sasa hata mke huna unashauri nini:confused:
  10. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anapokwambia kuwa ni mjamzito kumbe hana ana maana gani?

    Analikuwa anakuangalia kama future inasomeka baaaasi so kama ulikuwa unababaika imekula kwakoooo
  11. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

    Wengibwettu tumesema juu ya binti kuwa anaogopa michepuko yake itajua lakini msisahau kuwa hata familia pia inachangia coz sio wote wana uzungu ambao eti utapita na grlfrnd/byfrnd wakakuchekea.
  12. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

    :sly::sly::sly:
  13. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najivuna kwani nilitimiza ahadi kwa mchumba wangu

    Ukijaribu mchepuko tu ujue umeshaharibu maisha yenu. Life will be hard for both of you aiseeee no uwaminifuuu
  14. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najivuna kwani nilitimiza ahadi kwa mchumba wangu

    Hahahaa Uuuwiii......
  15. Filomena

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Good husband is hard to find nowdays

    Lolest....
Back
Top Bottom