Recent content by Filip

  1. F

    Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

    A very good narrative experience, ASANTE SANA 🙏 🙏 KAKA MKUBWA
  2. F

    Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

    ASANTE SANA 🙏 Vipi mkuu unaweza kuwasemea chochote WARANGI? KARIBU KWA EXPERIENCE YAKO. ASANTE SANA 🙏
  3. F

    Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

    Noted for action Mkuu. ASANTE SANA 🙏
  4. F

    Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

    ASANTE SANA KWA HII OBSERVATION YAKO MKUU. UBARIKIWE SANA 🙏
  5. F

    Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

    Unaweza kufafanua zaidi ndugu kwa faida ya wengi? NATANGULIZA SHUKRANI
  6. F

    Naomba kufahamu sifa na tabia za wanawake wa KIIRAQ /MBULU na WARANGI

    Ndugu zangu, Naamini mnaendelea vema. SAMAHANI KAMA NITAWAKWAZA: Naomba msaada wenu kwa anayejua kuhusu SIFA NA TABIA za wanawake wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI. Na pia naomba ushuari wa namna bora ya kuishi nao ikitokea mtu anao mwanamke wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao...
  7. F

    Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    Ngoja niku inbox kwa namba yako tuyajenge my sweetheart 😘
  8. F

    Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

    We tulia hapo ligula bana ! Nakuja kukutolea posa mtoto mzuri nikupendaye toka moyoni mwangu 🥰 MTech
  9. F

    GE2025 PICHA: Miradi Mbalimbali iliyokamilishwa na Rais Samia

    Wewe utakufa mdomo wazi huku ukiwa unamuongele le kizimkazi
  10. F

    Serena Hotel: Kikao Kazi kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Tume ya Mipango, kuhusu Dira 2050 kuelekea Tanzania tuitakayo!

    Paskali wewe ni chawa promax! Umepoteza credibility humu jf na wala mada zako sasa hivi watu hawasomi. Mimi pia nimekoment bila Kusoma uzi wako!
  11. F

    Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    Nitakesha bar sio kunywa ni kuogaaa bia hadi asubuhi Eeeee Mwenyezi Mungu tutendeee HERI sisi watanganyika
  12. F

    GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

    First Lady wangu na sisi tukamuondoe ndumbaro pale songea mjini mdwanzi yule
  13. F

    Najuta kumsamehe mke wangu, ilikuwa kidogo tu nipoteze maisha. Naombeni ushauri

    Nikaribishe mtwara bana mrembo nipo hapa shangani
  14. F

    Mkurugenzi Mtendaji - mke anahitajika

    Bila bila until now sijui kuwa wote wadada wa humu wameolewa au ndio wamekuwa busy na mihangaiko ya maisha. Jamani mke wangu mtarajiwa upo wapi? ukuje bana popote ulipo ikufikie hii taarifa kwa sababu tunajichelewesha na pia tunachelewesha watoto kuanza shule. Come this way my wife please.
Back
Top Bottom