Recent content by filadelifia toto

  1. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, je unafahamu hili kuhusu mashoga na ushoga?

    Washamba , + malimbukeni.
  2. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuichukia Serikali ingia JF mara nyingi

    Hivi; huu upumbavu utakoma lini? Si Kila anaenungunika alikua hana kipato halali. Haitaji kua na elimu ya msingi darasa 4, eti ndipo ujue madhira yanayo wakumba wakurima wa nchi hii kwa awam hii ya 5.wakulima wa Rudewa hawana wa kumuuzia Mahindi hata kwa hiyo bei ya kutupwa ya debe 1tsh 3000...
  3. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Haya: Zoezi la Uhakiki Lianze Mapema!

    Itakuwa ngumu,hivi; bwana yule alie tajwa mjengoni, amesha pimwa malinda? Nadhani aanze yee.
  4. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Haya: Zoezi la Uhakiki Lianze Mapema!

    Watu hawataki kupimwa tezi beberu, sembuse ushosti?
  5. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    Haaaaa!!!wewe situmeongea hata nusu saa haijapita? Umeniambia ni siri ,kumbe Imesha fika huku?
  6. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    Hii katiba ya 77 haifuatwi. Je, tukitunga mpya wasimamizi watashuka?
  7. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Tumefika hapa kwasababu ya CHADEMA, wanapaswa kuenziwa!

    Huo ndiyo ukweli usiyo pingika.ila kwakuwa tumehamia kusadikika, chini ya majivuno,ukweli utaitwa uongo na uongo utaitwa ukweli.
  8. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    Watakuja kina ;Rutashobya ,Enjai ya kyasha, na msubili, Brtanica
  9. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali

    Silaha zote hizo? Kg ajitokeze mbele ya wandishi atoe ufafanuzi wamambo yafuatayo: Mosi; alianza kumfuatilia lini? Mbili:mapambano yakumkamata yamesababisha vifo, au majeruhi kwa Kwa pande zote mbili? Tatu:usalama wetu kama nchi uko wapi kama m2 mmoja anaweza kumili silaha zote hizo...
  10. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yaliyojiri leo huku La Paz nchini Bolivia

    Hii tim, kimataifa inafanya vibaya kwasababu:mwenyekiti, hana uzoefu na michuano ya kimataifa. Achilia mbali ile ya ubingwa ,hata ya kilafiki ni 0. Baada yakukabidhiwa timu kama mwenye kiti,alianza mikakati ya ushind.ikiwa nipamoja na kupiga marufuku wachezaji wote"kunywa viroba" haikuishia kwa...
  11. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Ibn Khaldun (1332-1406) na kodi

    Cha ajabu ,hazipati wachangiaji.
  12. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Wakuu wa idara wasiova suti kwenye vikao Kutolewa Nje

    Awalete Njombe ,wajifunze kuvaa suti.
  13. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Uhasama wa KIANJA na KARAGWE

    Kuna hadithi kua;karagwe ilifua chuma kabla.ya Ulaya je.nikweli? Kanazi haiku's na Mkama.
  14. filadelifia toto

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ulipokuja Kagera walikuambia kuhusu kahawa ya magendo ila walikuficha kuhusu mahindi ya magendo

    Unataka mtu atoke Rukunyu ,akafuate debe la Mahindi Madaba?
Back
Top Bottom