Recent content by fikrayangu1

  1. fikrayangu1

    Odina atinga Magogoni, Magufuli alitumwa na serikali?

    Mbowe alitumwa na Chadema nae??? kwenye mkutano wao mkuu week 2 zilizopita alikuwepo pia. Ni jambo la kawaida tu.
  2. fikrayangu1

    Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

    Makamanda mnanifurahisha sana. msigombane, kujenga chama kunaendana na kila mmoja wenu kuheshimu mawazo ya mwenzake.
  3. fikrayangu1

    Maalim Seif Sharif ataka msaada wa kimataifa ili Zanzibar iwe huru!

    Sioni ubaya kwa Zanzibar kuwa taifa huru. Ubaya nauona kwa wananchi wa pande zote mbili wanapoamua kutumia hilo kama njia ya kukashifiana, kutukanana imefikia hata kuuana. Hivyo siyo vitendo vya kuvishabikia kabisa, tunaweza kuamua vyovyote kuhusu muungano bila kugombana na hata ikitokea...
  4. fikrayangu1

    Watch ITV NOW!: Baba Wa Taifa Mwalimu JK Nyerere Anazungumzia Sifa za Rais Ajaye!.

    Sijaelewa jambo atatoka ndani ya Ccm? au aliyetoka ccm kwenda chama kingine??
  5. fikrayangu1

    Watch ITV NOW!: Baba Wa Taifa Mwalimu JK Nyerere Anazungumzia Sifa za Rais Ajaye!.

    Maneno ya mwalimu ni maneno mazito sana. Hasa pale alipozungumzia watu wenye uroho wa madaraka. Kuna nini ikulu???? ni pakuogopa kama ukoma.
  6. fikrayangu1

    Ujio Wangu

    Nimeamua Rasmi kuketi kwenye Jamvi hili la JF, naamini ni sehemu muhimu ya kutoa mawazo yangu na kuwafikia walengwa moja kwa moja katika lengo la kurekebisha,kukosoa na hata kupongeza ikibidi. Naamini katika hayo na pia naamini nitatumia nafasi hii kuwakilisha mawazo yangu kadili nitakavyoona...
  7. fikrayangu1

    Masalia: Mikakati Inaendelea

    Siasa mbaya za chuki,kupakana matope ni siasa ambazo inabidi tusali ili kama ni pepo litupitie mbali. Maana nguvu mnazotumia kumshambulia Zitto nawaza mtakapofanikiwa atafata nani???
  8. fikrayangu1

    Tamko la JWTZ juu ya picha ya Lema na Mwanajeshi katika Mwananchi la Leo

    Kosa lake ni kukiuka Sheria nambari nne (4) ya mabadiliko ya nane (8) katika Katiba ya Nchi ya mwaka 1992 ibara ya 147(3), Tuache Siasa kwenye mambo ya usalama wa nchi.
  9. fikrayangu1

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Udini na Ukabila ni kasoro kubwa sana kwenye Chadema na namuunga mkono Zitto sababu siyo aina ya wanasiasa Mujahidina…
Back
Top Bottom