sisi tupo pamoja na nyie, bega kwa bega hatuwezi kuondoka aliyekwambia kufa kwa imamu ndio mwisho wa ibada ni nani?, uchguzi ukimalizika siye tatakuwa hapa hapa tutaendelea na majadiliano ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.
ile ni bajeti imewekwa itumike acheni jamani itumike, mbona CHEDEMA wanatumia helikopta watu hawasemi ila wakitumia CCM tatizo watanzania ifike wakati tubadilike jamani, kila chama kina bajeti yake na taratibu zake.
Ni kweli CCM imeleta ukombozi barani Afrika kwa uwepo wa Mwl. Nyerere na bado itaendelea kuleta ukombozi wa wananchi wa hali ya chini kwa uwepo kwa viongozi makini kama Dk. Jakaya na viongozi wenzake wenye uchungu na nchi yao,w3atanzania tushikamane na tushirikiane kwa dhati katika kuleta...
Watanzania wakati umefika kwa maendeleo ya ukweli na hakuna chama kingine kitakachokuja kuleta maendeleo zaidi ya CCM, maneno siku zote hayavunji mfupa, tushikamane kwa maendeleo ya Taifa letu na CCM ndio chaguo la watanzania, acha matendo yachukue nafasi yake, CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Mimi naona kumfukuza kwa matusi si sahihi, mie naona tuziangalie sababu zilizomfanya kutaka au kuomba ushauri wa kujiondoa CHADEMA kama zinamsingi na wengine tufate.
yeye ni mwanadamu kama wengine anamapungufu sawa, lakini kwa nini aandikwe kwa mabaya kwani mazuri aliyoyafanya hamuyaoni?, kila mtu anamapungu hata weye kwenu vilevile unayao mapungufu huwezi kuwa mkamilifu mpaka unaingia kaburini hivyo watanzania wote tuungane, tushirikiane naye kuhakikisha...
Siwezi kutoa hukumu ila sidhani kama maombi yenu yatazingatiwa kutokana na ubinafsi na uroho wa madaraka kutoka ktk chama chenu cha chadema hii inatokana na viongozi wenu kuwa wabinafsi katika madaraka pamoja na kushikilia ukabila wakati Baba wa Taifa alipiga vita sana ukabila sasa chadema...
Kwanza kabisa nawasalimu wana JF mwenzenu ndio nimetoka KARATU JUZI NAISHI JIRANI NA DR Wilbroad Slaa, nimevutiwa sana na ujumbe uliotolewa na Mzee wetu Alhaji A. Mwinyi kwamba tusifanye makosa ya kumchagua Slaa au upinzani, kwa kweli ni kweli tupu kwani pale kanisani alipokuwa anapaongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.