Recent content by fijo

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kupata Mwenza-Mume

    Nawasalimu wana JF wote, Rejea thread yangu ya kutafuta mume Ninapenda kumshukuru Mungu Baba, Muumba wa vyote kwa kuweza kunikutanisha na mwenza wa maisha yangu ya hapa duniani,kwa hatua tuliyofikia sina budi kusema kuwa nimempata wangu. Maana kule mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,wote...
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za wanawake kuendelea kuchezewa

    Pole sana Stardust, Hiyo sababu uliyoainisha inaweza kutokea pande zote,hata mwanamme anaweza kukwambia hana uhusiano but sio kweli anatafuta backup awe na wapenzi zaidi ya mmoja,ila kwa mwanamme kutongoza ni moja ya tabia,kwahiyo anaweza kuwa na wengi ila akapenda mmoja tu. Sababu nyingine...
  3. F

    JamiiForums Tanzania journey with a purpose!

    Its a very challenging and wide thinking question. Surely, we are all on journey and one day will be accountable for our deeds. Whom am I living for in this world? Why do I exist? I can rely my reasoning based on my faith. John 3:16 As for science I don't have any strong points...
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Duuh unachokifanya sio sahihi kabisa dada. Mwanamke huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Hizo ni tamaa za kimwili tu ambazo huzaa mauti. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Mbona unataka kuvunja ndoa yako dada?
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Hello, Sijapata PM yako
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Ndaga
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Ndaga
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Amina.Ninaamini Mungu atanipa
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Asante kwa ushauri
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Amina
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Dar es salaam
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatafuta mume

    Habari wana JF, Mimi ni mwanamke mwenye miaka 36. Ninatafuta mpenzi mwenye upendo wa dhati atakayekuwa mume wangu. Sifa zake Umri: 37-45 Dini: Mkristo Elimu: kidato cha sita na kuendelea Kipato: Kaajiriwa / kajiajiri. Ninawakaribisha PM kwa mawasiliano zaidi. Ninatanguliza shukrani zangu...
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    Inaumiza moyo kumpenda mtu bila kujua hana upendo wa dhati kwako,kiukweli huyo kaka yuko nawe kimaslahi zaidi,ukijashituka atakuwa na mwanamke mwingine na atakuambia you are not my type. Ni vizuri ukafanya maamuzi mapema before its too late.
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini dawa ya mwanamke anayekutukana mara kwa mara?

    Pole. Inabidi ukae nae na kumueleza kuwa hupendi hiyo tabia,nafikiri atakuwa na mengine moyoni mwake pia muelezane na kuombana msamaha na kuanza upya
Back
Top Bottom