Habari wakuu,
Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
Izo ni hesabu za kwenye karatasi sio za uhalisia umeaasume the worst scenario ya gas na best scenario ya induction gas mtungi mdogo familia ya watu 4 unaweza pikia mwezi kwenye induction angalia unatumia unit ngap Kwa siku? Times 30 kisha angalia price Kwa mtu alietumia vyote anaweza kuleta...
Hii course nlikua naikubari sanaa nkaenda electronics engineering udsm nkijua itakua hivi coz n electronics pure sio electronics and telecommunication kama dit au electronics and electrical kama must lakini nmekuta udsm nako imebase kwenye telecom zaidi najitahidi kutafuta chance nihamie kweny...
Sema hoja nyingine zinafanya Tu jaji Sana uwezo wa viongozi wetu hii hoja ina exposé Kua tume inauwezo mkubwa kuliko usalama WA taifa kwa kushindwa kung'amua ilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.