Recent content by Field Mashal

  1. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itafute undani huu

    Nimeiona kwenye moja ya mitandao ya kijamii hapa nchini. /HIVI NDIVYO TUNU ZA TANZANIA ZINAVYOFIKA UGANDA KWA SIRI
  2. F

    JamiiForums Tanzania TCRA ionyeshe hadharani nyaraka za malipo na tarehe ya malipo ya Vituo vilivyofungiwa vikalipa

    Nadhani mkuu hukufatilia vizuri, Innocent Mungi ameeleza leo kupitia vyombo vya habari kuwa baadhi wameonesha nia ya kulipa leo j3 wengine wakijitetea kuwa zile barua zilizotumwa wiki moja kabla hazijawafikia na hiyo yawezekana ikisababishwa na anwani walizotumia kutokuwa active. Amesema...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Bukoba:Kagasheki ajitokeza baada ya uvumi kuwa 'amekatwa',wanachi wafurika kumuona

    Kweli hayo mafuriko ukilinganisha mikutano ya wabunge hii ni best, ngoja tusubiri Lwakatare asipokuja na mzee wa mvi imekula kwake.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Watia nia 3 Manispaa Bukoba waomba msamaha ccm baada ya kukosa fedha za gharama ya mi

    Katika kikao cha kamati ya ccm wilaya, watia nia hao watatu walitakiwa kusimamishwa kutoudhuria mikutano ingawa wamebembeleza na kuruhusiwa had I jumanne asubuhi ili wawasilishe fedha za gharama ya mikutano mil2 Miongoni mwao ni mwl George ambaye amejitetea kuwa ameshapunguza lak3 huku...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mikutano CCM Bukoba waahirishwa ili kumjadili Amani

    Baada ya wajumbe CCM Kata Kashai manispaa ya Bukoba kumkataa Anatory Aman kuwa ni mwizi na anawavuruga kwa kuwapeleka mahakamani. Hata hivyo wamesema kwanini anakwenda kwenye kata ambayo ina upweke kutokana na diwani wao kufukuzwa kwa fitina zake, hivyo hawawezi kukaa kusikiliza mwizi ambaye...
  6. F

    JamiiForums Tanzania TCRA,NEC na Msajiri wa vyama ya siasa, radio Kasibante vipi?

    Nduguyangu hizo mamlaka zingeanza na Free media ungeeleweka lkn leo kuirukia Kasibante ni ufahamu mdogo, Vission unayosema ndiyo imechachafya Misenyi nakumfanya Valerian ateuliwe. Walioanzisha taasisi zingine Bk mbona hawajalazimishwa kufuata matakwa ya wananchi Bali wanaangali faida zao na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Amani aibomoa CCM kampeini za kura ya Ubunge Manispaa ya Bukoba

    Ni baada ya kusema kuwa serikali ya CCM ina sekta4 zilizojaa rushwa na nchi yote inanuka rushwa hivyo anawaomba wana Bukoba wamuunge mkono popote pale ili aangamize hali hiyo nchini. Wakati akitamka maneno ilikuwa katika mkutano wa kwanza wa wagombea 8 kuomba ridhaa ya wana CCM kwa wanaotaka...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kagasheki akwama, Dr Aman agoma kumsaheme baada ya kuungama

    Msikiapo jambo ulizeni mwambiwe, mdau hapa umeleta habari ya kijiwe cha kahawa, Aman jana alibanwa na CCM aeleze kwanini alileta chokochoko na akaulizwa kwanini asiombe msamaha kupitia jukwaa au anachagua njia gani ya kuomba msamaha kwa huyo Kaga na wananchi? Akasema anajifikiria, ilikuwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Video: Waandishi wa Habari Bukoba Mbaroni juu ya Maandamano ya CHADEMA

    Kiukweli polisi wakati mwingine wanajichanganya, hapo nafikili walitakiwa kuomba ushirikiano kwa waandishi hao ili wawasaidie kupata ukweli wa mambo kuliko kuwatuhumu kwasababu wakati huu waandishi wanaijua teknolojia kuliko polisi na wana mitandao ya haraka kupata taarifa hizo, ila tunashukuru...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa sasa bukoba naye katimuliwa

    Hii nimeiona kwenye mtandao mmoja wa kijamii KANDAYAZIWA BLOG kuwa inasemekana amehamishiwa Dar es salaam lakini lakini ukimnukuu mmoja wa wafanyakazi wa manispaa hiyo ambaye hakutajwa jina kuwa wanafanya kazi kwa hofu sasa.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Madiwani bukoba washinikizwa kupitisha bajeti

    Ni baada ya kuitwa na mkuu wa mkoa wa Kagera alipoitisha kikao na viongozi mbalimbali mkoani Kagera wakiwamo viongozi wa kidini maaskofu na wachungaji. Katika kikao hicho Kanali Massawe amewaambia madiwani wakubali kuingia kwenye kikao cha Bajeti ili waipitishe na wakati huo taarifa za CAG...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kundi la balozi Kagasheki linakwamisha maendeleo katika manispaa ya bukoba

    Huyo kama ni mwandishi nadhani hajafikia kiwango cha kuitwa mwandishi habari, Alichokiandika hakijatuweka wazi nini hasa tatizo la michango ya Kagasheki na mgogoro wake na Aman, ebu acheni kutupotezea muda na uchonganishi wenu, wachache wanafanya wahaya tunaoishi nje ya Kagera nasi tuonekane...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mashine za EFD za TRA na Wafanya biashara ni mchezo wa "Nani atamfunga paka kengele"

    Afadhali umeleta hili hapa, nimesikia huko Kagera wanalaumu eti wamewasema kwy vyombo vya habari, wakati haya yako nchi nzima, na kikubwa hapa wafanyabiashara wanakatwa asilimia 18, japo katika utetezi wao wanakatwa wenye VAT na waliochini ya mil10 kuna utaratibu mwingine unatumika, sisi...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bastola hazioneshi kuwasaidia wamiliki?

    Wanaowapa hawawapi mafunzo ya kuzitumia, wanafikili kuwa nayo tu tayari ni ulinzi tosha hawajui kuwa kwanza ni kesi kushika silaha bila kujua matumizi yake na wapi unatakiwa kuwa nayo, wewe umesema hayo lakini ushagai kuona wengine wanazining'iniza kama funguo za magari kwenye suruali?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Bunge lasimamisha operation ya Majangili, kuunda kamati ya bunge kuchunguza

    ukiona hv ujue wabunge nao wanahusika kwanini wachanganyikiwe kiasi hicho ilhali wao ndiyo wanajigamba kuomba hatua za kusaka majangili zifanyike, utakamata majangili ilhali viashiria vinaachwa? ngoja tuone kusitishwa kama kutaleta manufaa make matajiri hawaendi porini bali wananchi wakawaida...
Back
Top Bottom