Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,852
Ni ushauri ili kila mtu ajiridhishe maana tunaona baadhi ya vituo vikiwa hewani na hatujui ni lini vimelipa madeni yao.
Nilisoma kwenye gazeti la Mwananchi kuwa wale watakaokuwa wamelipa kabla ya hiyo tarehe hawatafungiwa ila cha msingi tujue tu ni lini hawa watu wamelipa.taarifa ya tcra iko wazi tu ni kuwa kufungiwa miezi mitatu ni lazima, na kma hujalipa mpaka miezi hiyo kuisha hufunguliwi. Sasa kama tv zingine ziko hewani basi ndio ile walisema watamsaidia katika biashara zake pia, labda ni agizo toka kwa mkulu
Mkuu kuna kitu kinaitwa online banking,unaweza hamisha pesa hata ukiwa kitandani kwako.mliosubiri kuona startv akifungiwa itabidi msubiri sana,mambo ya kupanga foleni kuwahi deadline yamepitwa na wakati.Nilisoma kwenye gazeti la Mwananchi kuwa wale watakaokuwa wamelipa kabla ya hiyo tarehe hawatafungiwa ila cha msingi tujue tu ni lini hawa watu wamelipa.
Tunachohitaji hapa ni uthibitisho na si hadithi za ikapanda ikashuka.Mkuu kuna kitu kinaitwa online banking,unaweza hamisha pesa hata ukiwa kitandani kwako.mliosubiri kuona startv akifungiwa itabidi msubiri sana,mambo ya kupanga foleni kuwahi deadline yamepitwa na wakati.
Mkuu, kwani ni lazima kituo kifungwe?Cha msingi walipe na nadhani wakilipa waendelee kua hewani ila wafatiliwe kwa karibu zaidi wasilaze malipo ya leseni zao
Be it online banking, kupanga mistari, ishu NI JE WAMELIPA...???Mkuu kuna kitu kinaitwa online banking,unaweza hamisha pesa hata ukiwa kitandani kwako.mliosubiri kuona startv akifungiwa itabidi msubiri sana,mambo ya kupanga foleni kuwahi deadline yamepitwa na wakati.
Star Tv imefungiwa ila kwa kanzi nzuri iliyofanya wakati wa kampeni inaendelea kurusha. Pia huwezi kumshika kidevu mfalime.Nilisoma kwenye gazeti la Mwananchi kuwa wale watakaokuwa wamelipa kabla ya hiyo tarehe hawatafungiwa ila cha msingi tujue tu ni lini hawa watu wamelipa.
Walaka uliotolewa unasema vituo vimefungiwa kwa hiyo hata vikilipa vitafunguliwa baada ya miezi mitatu sasa isiwe kumkoma nyani giladiMkuu, kwani ni lazima kituo kifungwe?
Kama wamelipa kwetu hakuna tatizo maana kikubwa ni ukwepaji wa kodi mengine ya nini?
Mwezi uliopita Pikipiki zilitakiwa kulipa ada ya kubadilisha namba kutoka namba inayoanza na T... 101(n>999)...A...Z. na kuwa MC ...101(n>999)....A...Z pale TRA. Foleni ilikua kali sana, kama ungekua ni rahisi kama unavyodai, isingesumbua kamweMkuu kuna kitu kinaitwa online banking,unaweza hamisha pesa hata ukiwa kitandani kwako.mliosubiri kuona startv akifungiwa itabidi msubiri sana,mambo ya kupanga foleni kuwahi deadline yamepitwa na wakati.
Mtoa mada kasema ukweli TCRA watupe document ili tujiridhishe na si kila kitu kufanyika kimyakimya, na kama kweli hivi vituo vilivyoko hewani mpaka sasa bado TCRA inatakiwa itoe maelezo kwa wananchi kwanini vimeendelea kuwa hewani tutawaamini vipi sasa hao TCRA?Walaka uliotolewa unasema vituo vimefungiwa kwa hiyo hata vikilipa vitafunguliwa baada ya miezi mitatu sasa isiwe kumkoma nyani giladi
Kwani online banking haina rist?Mkuu kuna kitu kinaitwa online banking,unaweza hamisha pesa hata ukiwa kitandani kwako.mliosubiri kuona startv akifungiwa itabidi msubiri sana,mambo ya kupanga foleni kuwahi deadline yamepitwa na wakati.
Bora wangekaa kimya tu.Nadhani mkuu hukufatilia vizuri, Innocent Mungi ameeleza leo kupitia vyombo vya habari kuwa baadhi wameonesha nia ya kulipa leo j3 wengine wakijitetea kuwa zile barua zilizotumwa wiki moja kabla hazijawafikia na hiyo yawezekana ikisababishwa na anwani walizotumia kutokuwa active.
Amesema kufikia leo jioni watakaokuwa wameshindwa watatakiwa kuzima mitambo yao na hilo halina kubembelezana.
Kuhusu kuweka wazi nyaraka hazina sababu kuwaonesha wananchi ambao hawana mikataba na TCR ilimradi wawaoneshe wateja wao yaani wenye vyombo husika na waweze kuhakiki kwa pamoja km wenye vyombo hawatalalamikia hilo ujue kweli wana madeni...
ReceiptKwani online banking haina rist?