Mkurugenzi wa sasa bukoba naye katimuliwa

Mkurugenzi wa sasa bukoba naye katimuliwa

Field Mashal

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
36
Reaction score
13
Hii nimeiona kwenye mtandao mmoja wa kijamii KANDAYAZIWA BLOG kuwa inasemekana amehamishiwa Dar es salaam lakini lakini ukimnukuu mmoja wa wafanyakazi wa manispaa hiyo ambaye hakutajwa jina kuwa wanafanya kazi kwa hofu sasa.
 
Du!!! huu mgogoro utawamaliza sasa, vipi Meya AMAN na wale watendaji waliosimamishwa na CAG?
 
Back
Top Bottom