Recent content by Fideljakangoje

  1. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata UDOM Admission Letter

    Kaka jonatus mbona tunashindwa kupata admission letters kwa kulogin kwenye hiyo link ya udom?
  2. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Mzumbe University Selection 2014

    Jaman what's the procedure of getting joining instructions udom?
  3. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Ulisoma notice ya first years ya udom? Mzee wangu anasema no fraud post.
  4. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Mwanangu niombeni sana MUNGU anisaidie. Mambo yangu yanazidi kuwa ngumu.
  5. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Je ? Joining instruction ya UDOM imetoka? Naombeni jibu nijipange nalo.
  6. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Doctor of Medicine.
  7. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Deadline ya kuapply mkopo ilifika kabla cjaomba mkopo je kuna uwezekano wa kupata mkopo mwaka huu?
  8. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Jonatus thanks ndugu yangu nimechaguliwa aisee!!
  9. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    Jonatus thanks nimechaguliwa aisee.
  10. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Thread IPI?
  11. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Jonatus nakusubir.
  12. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Thread gani mkuu nisaidie nisome ndugu yangu.
  13. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Mbona UDOM haifunguki na PDF?
  14. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Aya bwana
  15. Fideljakangoje

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Vyuo vya afya wametangaza? Nijuzeni jaman.
Back
Top Bottom