Recent content by fidelis mushi

  1. F

    Kikwete, Museveni, Lowassa, Mwinyi kuzomewa UDSM, ni ishara ya nini?

    wanavyuo ni sehemu hinayo wakilisha watanzania kwa karibu zaidi..walichokifanya sio wao tu atamwananchi wakawaida hapa mtaani anazomea hivyo hivyo its just hawajapata courege yakufanya hivyo hadharani..kitaa hilo swala limepokelewa na mikono miwili every body wish he/her could be there...
  2. F

    EL marudio ya mazungumzo yake na waandishi Monduli kurusha TBC1 saa 3 Usiku wa leo.

    niwazi kwamba ameanza kampeni anatafuta kukubalika kwa watanzania after all he hv done
  3. F

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    dr slaa atakua rahisi 2015 wote hao niwatuwadogo sana compared to him..na ni mwaka 2015 CCM watakapo anguka sio huko 2020 ambako wanasema wanaccm..vijana 2015 niwakati wetu wakufanya mabadiliko tukowengi zaidi yawale wazee wetu wanaodanganyika kirahisi na CCM it does not cost u a thing kupiga...
  4. F

    UDA: Connetion ya Robert Kisena na msharika wake Ridhiwani Kikwete!

    niwazi kua CCM nikile cha chukua chako mapema,,kila mmoja sasa hivi anajikusanyia tu.Raisi mwenyewe katulia anajua mdawake hunakwisha na kashamkusanyia mwanae vyakutosha anatuona watanzania watu wakelele tu..then anaweka katabasam kake akiona wananchi wanakapokea naowakacheka basi anajua...
  5. F

    UVCCM: Maoni juu ya Reform [Survey]

    Mi naomba kuwauliza UVCCM ni nini kazi yao haswa katika kuleta maendeleo ya TANZANIA?
Back
Top Bottom