Recent content by Fideline

  1. F

    JamiiForums Tanzania Shamba Linauzwa 100Acres -Mkata Handeni

    Umuofia kwenu! Shamba lenye ukubwa ya Ekari 100 Linauzwa.Shamba lipo Kijiji Cha Kwandugwa.Umbali wa Km 14 toka Mkata Centre. Shamba ni pori.Halijawahi kusafishwa.Linauzwa kwa Tsh 18M.Mazungumzo kidogo yapo.Shamba lina hati ya mauziano ya serikali ya Kijiji na mnunuzi atapata haki ya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Rennet

    Nitext nitakupa number ya mtaalam wa food processing ata kusaidia wapi utapata. whatsap 0757786054
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ila haya maisha wakati mwingine yanaweza kukufanya utamani kujiua

    Usikate tamaa.Mimi nimemaliza B.comm 2003 mbona silalamiki?Pambana kuna siku unaweza kuwa Rais wa nchi ukampiga Robin gap! BTW nilisoma na Jamaa anaitwa Max Kimambo way back in 1995.Nadhani atakuwa kaka yake na huyu.Mama yao ni Mrusi.Bila shaka Max na Robin watakuwa ndugu.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tanzanian graphite project gets $277 million development contract

    ipo mkoa gani,wilaya gani, kata ganu
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Kumbe hii ndio account yako eeeh ! Basi sawa
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    duh balaa.Itakuwa mzee alikuwa anaishi Skandia
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ninavyomkumbuka Maalim

    Mzee Mohammed, haya machapisho ni yako binafsi sio?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ninavyomkumbuka Maalim

    Asante Mzee Wangu Mohamed, je mlijadili mjadala huu hapa jamvini? Nitavitafuta vitabu ulivyosema nivisome.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ninavyomkumbuka Maalim

    Mzee Mohammed, Kwa bahati mbaya Wamisionari wa Kikristu walipokuja kutangaza dini yao, waliwafundisha pia waumini wao elimu dunia.Hivi ndio kusema elimu dunia ambayo ndio inatumika serikalini ilisambazwa sana na hawa Wamisionari.Ukiangalia shule nyingi ambazo baadae serikaali hii unayoilaumu...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Habari zenu, natoka Botswana nawasalimu sana

    Hivi tarehe za mfalme kujichagulia mke huwa nimiezi gani? Nataka kuja kutalii
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ninavyomkumbuka Maalim

    Mzee Mohammed, Sina historia ya imani za majemedari wale.Lakini naamini hawakuwa wakipigania uhuru kwa ajili ya maslahi ya imani zao.Walipigania Uhuru ili kuweza kuwa na usawa katika nchi baina ya wazungu,wahindi na waafrika.Haya ya Imani naona ukiyasisitiza kwa mintarafu ya mtizamo wako.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ninavyomkumbuka Maalim

    Mzee wangu Mohammed, Embu tupe shuluhisho, tufanyeje sasa ili Waisalam waliopigania Uhuru wafaidike? Embu toa shuluhisho ili uache habari ya kupanda chuki kwa sisi tuliozaliwa miaka ya karibuni. Kuna kitabu nimepata kukisoma. Kinaitwa Shake Hand With A Devil.Kimeandikwa na Dallaire Romeo...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Leading Without a Title: Zitto Zuberi Kabwe si wa Kubezwa

    Sisi tuliosoma nae Udsm 1999-2003 tunamjua.Hakuna snitch kama ZZK tanzania hii.Mtoto mbad sana.Hilo tu ndio linamkosesha sifa kwa wanaomjua.Otherwise kwa asiemjua, ZZK atasema kiongozi poa sana.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ninavyomkumbuka Maalim

    Mzee wangu MS, Habari wa mawaziri Wakristo kuwa wengi kuzidi waislam haimsaidii mtanzania wa kawaida.Mbona sisi wapagani hatuna waziri lakini hatulalamiki?mzee wangu una masomo mazuri sana ya historia shida unamalizia kwa kuweka udini.Sijapata kuona mwandishi mwingine akiweka udini kama wewe...
Back
Top Bottom