Recent content by Ficus

 1. Ficus

  Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

  Hivi una habari kwamba "Asilia" ni trademark ya kampuni ya utalii?!
 2. Ficus

  Kazi ngumu sana lakini nasave laki kwa mwezi

  Binafsi nimependa ukweli na uwazi wako hujaona aibu kuandika yaliyo moyoni mwako, kwa hili itakusaidia kusonga mbele maana tunasonga mbele kwa kujifunza. Nirudi kwemye mada, nakushauru uendelee kufanya kazi hapo na uendelee kusave as much as possible hata kwa kushindia mihogo. Nina uhakika...
 3. Ficus

  Naombeni ushauri kwa hili lililonikuta

  Asante naomba tuishie hapa.
 4. Ficus

  Naombeni ushauri kwa hili lililonikuta

  Kilicho ndani ya moyo wake kinaweza kuwa ndiyo jibu sahihi ya kile Mungu alichomuandalia na vile vile kinaweza kuwa siyo sahihi. Ili awe na uhakika sasa ndiyo anatakiwa kumuomba Mungu yeye ndiye mwenye majibu yote. Kuhusu suala la wazazi wake sijaona pahala alipoandika amegombana nao, ila wao...
 5. Ficus

  Naombeni ushauri kwa hili lililonikuta

  Fanya kilicho ndani ya moyo wako, ushakuwa mtu mzima sasa hutakiwi kuyumbishwa na mawazo ya wazazi/ndugu hatma ya maisha yako iko mikononi mwa Mungu na wewe mwenyewe. Nafasi waliyo nayo wazazi/ndugu zako ni kukushauri tu na kukuonyesha njia sahihi katika maisha. Muombe sana Mungu yeye ndiye...
 6. Ficus

  Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

  Hili ni janga lingine chini ya jua, yaani mtu kukopa unaomba tena kwa kubembeleza halafu kulipa hutaki tena maksudi kabisa. Si ajabu mtu huyu anamuomba Mungu abariki maisha yake wakati yeye anabomoa ya wengine. Ndugu ni vyema ukalipa tu deni lako ni ishara ya uungwana na ustaarabu katika...
 7. Ficus

  Kweli usije ukamjaribu mtu ktk kitu kinachoitwa pesa

  Inabidi ujitathimini mwenyewe, waswahili wana mseme wao " ndege wafananao huruka pamoja". Ukiona marafiki/watu unao waamini wana chembe za kutokuwa wa aminifu kwenye pesa jiangalie sana na wewe yawezekana uko hivo hivo. Wapo watu wengi tu waaminifu kwenye pesa, sasa kwasababu haujakutana nao...
 8. Ficus

  Sitahamisha tena pesa kutoka Tigopesa kwenda Bank!

  Ni kweli makato ya kufanya hii miamala yamekuwa makubwa mno, juzi nimetoa pesa kwa wakala M pesa yaani 350,000/= nakatwa shilingi 6000/= kama service charge. Kwa kweli ilinitia uchungu. Kuna haja ya hii mitandao ya simu kupitia upya gharama za huduma zao. Maana kwa mwendo huu tutashindwa hata...
 9. Ficus

  Tangazo: Kwa yeyote atakaye fanikisha kuipata laptop hii kuna zawadi taslimu ya tsh 5,000,000 Ahsanteni

  Pole muheshimiwa, kama ni picha jaribu kuingia iclod kama uliset mac yako kwenye auto upload to iCloud.
 10. Ficus

  Kuna mliofanya harusi za gharama kubwa na sasa mnajutia?

  Umeweza vyema harusi si tukio la muhimu sana ila ndoa ndiyo tukio la muhimu sana. Unaweza ukafunga ndoa halali na ukapata baraka zote kutoka kwa Mungu, pia unaweza ukafanya harusi kubwa sana na usipate baraka zozote toka kwa Mungu. Nachotaka kusema hapa ni kuwa ndoa ni mpango wa Mungu na harusi...
 11. Ficus

  Kuna mliofanya harusi za gharama kubwa na sasa mnajutia?

  Kamati ya harusi itahoji pasi shaka.
 12. Ficus

  Nahitaji mkopo wa 2m

  Safi umejitahidi, endelea kumalizia mdogo mdogo na boom lako.
 13. Ficus

  PSSSF ni majambazi wa kizazi kipya

  Kwako wewe muanzisha uzi ni wazi umekwazika sana, kama ndiyo umestaafu nikupe pole sana. Unaweza ukazitukana sana hizo taasisi za umma na hata serikali kadri uwezavyo lakini mwisho wa siku hautakuwa umesaidia chochote zaidi ya kudhihirisha upumbavu wako. Kwanza ulitakiwa kujua sababu ya...
 14. Ficus

  PSSSF ni majambazi wa kizazi kipya

  What kind of divine intervention are you talking about?
 15. Ficus

  HALI YA KIFEDHA IMEKUWA MBAYA NAONA BORA NIUZE NOTEBOOK YANGU

  Ndugu kuwa muungwana, kama huna pesa ya kununua pita kimya tu.
Top Bottom